MAJINA 16 YA WATU WANAOTUHUMIWA KUENDESHA MAUAJI HUKO KIBITI, RUFIJI NA MKURANGA YAWEKWA HADHARANI
HomeJamii

MAJINA 16 YA WATU WANAOTUHUMIWA KUENDESHA MAUAJI HUKO KIBITI, RUFIJI NA MKURANGA YAWEKWA HADHARANI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP), Simon Sirro, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao k...

MAGEREZA SACCOS YAFANYA MKUTANO MKUU WA TANO, 2017 MKOANI DODOMA
MTANDAO WA UTEPE MWEUPE (WHITE RIBBON) WAZUNGUMZA NA WAKAZI WA KIJIJI CHA MAORE JUUU YA VIFO VTOKANAVYO NA UZAZI KWA KINAMAMA NA WATOTO WACHANGA.
MAJALIWA MGENI RASMI MAHAFALI YA 33 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA, MKEWE PIA AHITIMU LEO
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP), Simon Sirro, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao kuhusiana na uhalifu katika maeneo ya Kibiti, Mkuranga na Ikwiriri, mkoani Pwani, ambapo Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, alitangaza kutafutwa kwa watu 16 wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu huo. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa polisi makao makuu,jijini Dar es Salaam. (PICHA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akionyesha baadhi ya picha za watuhumiwa wa uhalifu katika maeneo ya Kibiti,Mkuranga na Ikwiriri kwa  waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao na viongozi wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi  ambapo alitangaza kutafutwa kwa watu 16 wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu huo.Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP), Simon Sirro. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa polisi makao makuu, jijini Dar es Salaam.
 
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao na viongozi wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi kuhusiana na uhalifu katika maeneo ya Kibiti, Mkuranga na Ikwiriri, mkoani Pwani, ambapo alitangaza kutafutwa kwa watu 16 wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu huo. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa polisi makao makuu, jijini Dar es Salaam
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAJINA 16 YA WATU WANAOTUHUMIWA KUENDESHA MAUAJI HUKO KIBITI, RUFIJI NA MKURANGA YAWEKWA HADHARANI
MAJINA 16 YA WATU WANAOTUHUMIWA KUENDESHA MAUAJI HUKO KIBITI, RUFIJI NA MKURANGA YAWEKWA HADHARANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNvcycu2QhyCeVPIGb7aB_08WgDzKjRA1bM1hyphenhyphenZnu1wRy4CsBec5HZ0SHbpg4wjCu2P54j2VP7QrO6tYW2dBA8sC-q6YIQTx_v1mPUjvnq23hczrau2wD_Ax8ARqgIy__v84Qd79N-Yl4/s640/PIX+3.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNvcycu2QhyCeVPIGb7aB_08WgDzKjRA1bM1hyphenhyphenZnu1wRy4CsBec5HZ0SHbpg4wjCu2P54j2VP7QrO6tYW2dBA8sC-q6YIQTx_v1mPUjvnq23hczrau2wD_Ax8ARqgIy__v84Qd79N-Yl4/s72-c/PIX+3.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/06/majina-16-ya-watu-wanaotuhumiwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/majina-16-ya-watu-wanaotuhumiwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy