BANDARI TANGA YAKABIDHI VITANDA 10 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA WAJAWAZITO WILAYANI PANGANI
HomeMikoani

BANDARI TANGA YAKABIDHI VITANDA 10 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA WAJAWAZITO WILAYANI PANGANI

Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimkabidhi vitanda 10 leo  Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kwa ajili ...

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KATIKA ZIARA YA MKOA WA RUVUMA
DC GAIRO AAMURU KUKAMATWA VIONGOZI WALIOKULA FEDHA ZA UJENZI WA SEKONDARI YA KATA IDIBO
KAMANDA WA POLISI TANGA AZUNGUMZIA BASI SIMBA COACH KUCHOMWA MOTO



Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimkabidhi vitanda 10 leo Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kwa ajili ya kujifungulia wakina mama wajawazito ambavyo vimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa
Bandari nchini (TPA) ambavyo vinagharimu kiasi cha milioni 12.2 . Kushoto anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CC).




Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimkabidhi vitanda 10 leo Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kwa ajili ya kujifungulia wakina mama wajawazito ambavyo vimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa
Bandari nchini (TPA) ambavyo vinagharimu kiasi cha milioni 12.2 kulia anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Pangani, Daudi Mlahangwa

Meneja
wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimpongezwa na Naibu
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso mara baada ya kukabidhi
vitanda hivyo katika anayeshughudia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu
Issa



Mkuu
wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa katika akimkabidhi Vitanda 10
vilivyotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini TPA kwa Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Daudi Mlahangwa kwa ajili ya wilaya
ya Pangani kulia ni Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama
akishughudia

Mganga
mkuu wa wilaya ya Pangani (DMO) Juma Mfanga kulia akitolea vitanda 10
kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Daudi Mlahangwa
vilivyotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA)

Meneja
wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akiteta jambo na Mkuu
wilaya ya Pangani Zainabu Issa katikati ni Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso

Sehemu ya vitanda 10 vilivyotolewa na TPA






(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BANDARI TANGA YAKABIDHI VITANDA 10 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA WAJAWAZITO WILAYANI PANGANI
BANDARI TANGA YAKABIDHI VITANDA 10 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA WAJAWAZITO WILAYANI PANGANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitxwRs3fAerrqf3MoqmJB0nOBz7KVhnL2H911LmYS4yyjIlCuUlacsiZFSatpLLC7mqix3mzcq-qZQ1Nwcvz0v_GeUZO97LtoxQt5htv-jtFhIm0SGcpK-8Lsu1GO86CaPzWeGJQ2BAxQ/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitxwRs3fAerrqf3MoqmJB0nOBz7KVhnL2H911LmYS4yyjIlCuUlacsiZFSatpLLC7mqix3mzcq-qZQ1Nwcvz0v_GeUZO97LtoxQt5htv-jtFhIm0SGcpK-8Lsu1GO86CaPzWeGJQ2BAxQ/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/bandari-tanga-yakabidhi-vitanda-10-vya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/bandari-tanga-yakabidhi-vitanda-10-vya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy