ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA
HomeJamii

ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA

Sehemu ya Wafanyabiashara wa Soko la Nguo Mbagala Temeke Jijini Dar es Salaam walioathirika na moto ulioteketeza vibanda vya wafanyabiashara...

UJENZI WA KIWANDA CHA SARUJI TANGA NI FARAJA -WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU ATAKA MASHIRIKA YA UMMA YAISHAURI SERIKALI
TMA YATOA UTABIRI WA MVUA ZA MASIKA KUANZIA MWEZI MACHI HADI MEI 2017



Sehemu ya Wafanyabiashara wa Soko la Nguo Mbagala Temeke Jijini Dar es Salaam walioathirika na moto ulioteketeza vibanda vya wafanyabiashara hao juzi, wakiednelea na ukarabati wa vibanda vyao leo Machi 9, 2018.



Kamaishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage akimfariji kwa kumpa pole Mama lishe Bi. Fatma Hassan aliyeunguliwa na vitendea kazi vyake kufuatia tukio la kuungua kwa moto kwa soko la nguo Mbagala. Alipotembelea eneo hilo mapema leo asubuhi.


Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage akikagua eneo la Soko la Nguo Mbagala lililoteketea kwa moto juzi. Alipotembelea eneo hilo mapema leo asubuhi.


Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage, akiwapa pole Waathirika wa moto ulioteketeza vibanda vya Wafanyabiashara wa Soko la Nguo Mbagala Temeke Jijini Dar es Salaam. Alipotembelea eneo hilo mapema leo asubuhi. (PICHA NA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA
ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsYXRHCYC-sODwLqhy1nbkX_OYnp1EDoxIHxPjqXNEwt_Pi6XLPgFJTs8Bw34sq66R4bZ6nGGNPabUiBSBY1GjOKm5RTzl_DbRcmUQMrG9twyH_oIUiFGv17L_tJ7LaR5BN2r5DlGocZA/s640/PIX+4.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsYXRHCYC-sODwLqhy1nbkX_OYnp1EDoxIHxPjqXNEwt_Pi6XLPgFJTs8Bw34sq66R4bZ6nGGNPabUiBSBY1GjOKm5RTzl_DbRcmUQMrG9twyH_oIUiFGv17L_tJ7LaR5BN2r5DlGocZA/s72-c/PIX+4.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/zimamoto-yawatembelea-waathirika-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/zimamoto-yawatembelea-waathirika-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy