WAZIRI DKT. MEDARD KALEMANI AIPA TANESCO MIEZI 3 KUHAKIKISHA MITA ZA UMEME ZINANUNULIWA KWA WAZALISHAJI WA NDA
HomeJamii

WAZIRI DKT. MEDARD KALEMANI AIPA TANESCO MIEZI 3 KUHAKIKISHA MITA ZA UMEME ZINANUNULIWA KWA WAZALISHAJI WA NDA

LEO Machi 24, 2018, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani(MB), ametembelea kiwanda kipya cha kutengeneza mita za umeme kiitwacho Baobab E...

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI MZEE KINGUNGE NA WAGONJWA WENGINE WALIOLAZWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI
RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MAREHEMU PERAS MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
ALIYEKUWA KIONGOZI KITENGO CHA MAGONJWA YA DHARULA CHUMBA CHA UPASUAJI MNH, AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI






LEO Machi 24, 2018, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani(MB), ametembelea kiwanda kipya cha kutengeneza mita za umeme kiitwacho Baobab Energy Sytems Tanzania, kilichopo eneo la mbezi juu jijini Dar es salaam, kinachomilikiwa na watanzania.

Akizungumza katika uzinduzi huo, mheshimiwa waziri amesifu uwekezaji uliofanywa na watanzania hawa, na kueleza wazi kwamba hiki ni kiwanda cha kwanza chenye teknolojia chanya inayolenga kusaidia tanzania kuokoa gharama za manunuzi ya mita na vifaa vya umeme kutoka nje ya nchi.

Katika maeleze yake, mheshimiwa Dkt. Medard Kalemani (MB). Waziri ameipa Tanesco miezi 3 kuhakikisha wanasitisha ununuzi wa mita za umeme kutoka nje ya nchi kwani tayari viwanda vya ndani kikiwamo Baobab vimeonesha kuwa na uwezo wa kuzalisha kukidhi mahitaji ya nchi. “kwa sasa kiwanda kinauwezo wa kuzalisha mita za umeme elfu thelathini na nane(38000) kwa mwezi, wakati mahitaji ya tanesco ni mita elfu ishirini kwa mwezi (20000), hivyo naipa tanesco miezi mitatu waangalie kazi inayofanywa na wataalamu hawa na waanze kununua mita hizo kutoka kwa wazalishaji hawa wa ndani”. Kwa sasa nchini tanzania kuna viwanda viwili vya uzalishaji wa mita za umeme,  Baoba ikiwa ni kiwanda kimoja wapo

Pia mheshimiwa waziri ameiagiza tanesco kushirikiana na wazalishaji hawa wa mita za umeme ili kupunguza ulazima wa kupeleka mita na vifaa kama hivi nje ya nchi kwaajili ya matengenezo pindi vinapo haribika.

Mkurugezi mkuu wa Baobab Energy Systems Tanzania ndugu, Eng.Hashim Ibrahim amesema kwamba wamewekeza katika uzalishaji huu wa mita za umeme, kwani wameona changamoto kubwa serikali iyopata kuagiza mita kutoka nchi nyingine, jambo ambalo linapelekea uhaba wa

Mita hizi zinazozalishwa nchini zina ubora wa kipekee unaoweza kutambua mwizi wa umeme, upotevu wa umeme na pia zinapatkana kwa gharama nafuu zaidi ukilinganisha na gharama ambazo kwa sasa zinatumika kununua mita hizi.

Mkurugenzi mkuu wa Baobab Energy Systems Tanzania ndugu Eng. Hashim ibrahim ameahidi kwamba kiwanda hichi kimelenga kutoa ajira kwa vijana wa kitanzania hasa wanaohitimu vyo mbalimbali hapa nchini vikiwamo veta. Pia ameeleza kwamba malengo mapana ya uanzishaji wa kiwanda hichi pia ni kusaidia jitihada za mheshimiwa rais wa awamu ya tano Mheshimiwa John Pombe Magufuli kwenye sera yake ya uwekezaji wa viwanda.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI DKT. MEDARD KALEMANI AIPA TANESCO MIEZI 3 KUHAKIKISHA MITA ZA UMEME ZINANUNULIWA KWA WAZALISHAJI WA NDA
WAZIRI DKT. MEDARD KALEMANI AIPA TANESCO MIEZI 3 KUHAKIKISHA MITA ZA UMEME ZINANUNULIWA KWA WAZALISHAJI WA NDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJI-O1sIK1R6u66a2Eg4GbRYC-oSG95T7TBAnEqFOHd4EWi_E1jKC4UVVmqENs2be-hONzO-RTvJbQO5QMV6MK20h3BDV0IK1Y_ZKnKXY9ADdKqoHFZG6bUTw4FfIbAsVu0fAYnQksJmM/s640/IMG_6088.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJI-O1sIK1R6u66a2Eg4GbRYC-oSG95T7TBAnEqFOHd4EWi_E1jKC4UVVmqENs2be-hONzO-RTvJbQO5QMV6MK20h3BDV0IK1Y_ZKnKXY9ADdKqoHFZG6bUTw4FfIbAsVu0fAYnQksJmM/s72-c/IMG_6088.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/waziri-dkt-medard-kalemani-aipa-tanesco.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/waziri-dkt-medard-kalemani-aipa-tanesco.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy