Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) akizungumza na Ujumbe wa Wabunge toka...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi toka kwa Makamu wa Rais wa Bunge la Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mhe. Phung Ouoc Hien mara baada ya mazungumzo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam
|

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa sita toka kulia) katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wabunge toka Bunge la Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam ukiogozwa na Makamu wa Rais wa Bunge hilo Mhe. Phung Ouoc Hien (wa kwanza kulia kwa Naibu Spika) mara baada ya mazungumzo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. (PICHA NA BUNGE) |
COMMENTS