Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Athumani Hamisi wakati wa shughuli ya maziko ili...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harisson Mwakyembe akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Athumani Hamisi wakati wa shughuli ya maziko iliyofayika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam Januari 5 2018. |
![]() |
Mwili wa Athumani Hamisi Msengi ukiwa katika nyumbani kwake mara baada kuswaliwa Sinza Madukani Dar es Salaam Januari 5 2018. |
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt.Jimmy James Yonaz akizungumza jambo mara baada ya mwili wa Athumani Hamisi Msengi kumaliza kuswaliwa swala ya Ijumaa Nyumbani kwake Sinza Madukani leo jijini Dar es Salaam.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadj Mussa Salum akizungumza jambo nyumbani kwa marehemu leo jijini Dar es Salaam
Kaka mkubwa wa marehemu Dkt Ibrahim Msengi akizungumza jambo mara baada ya mwili wa mdogo wake Athumani Hamisi Msengi kumaliza kuswaliwa swala ya Ijumaa Nyumbani kwake Sinza Madukani leo jijini Dar es Salaam.
Mwili wa Athumani Hamisi Msengi kumaliza ukipandishwa kwenye gari kuelekea kwenye makaburi ya Kisutu mara baada ya kuswaliwa swala ya Ijumaa Nyumbani kwake Sinza Madukani leo jijini Dar es Salaam.
COMMENTS