Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mat...
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw. Li Yong wakionyesha kwa waandishi wa habari Tamko la Kusudio la kuanzisha (Declaration of Intention) Mpango wa UNIDO unaojulikana kama "Programmes for Country Partnership-PCP" ambalo walilisaini.
COMMENTS