Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Matter Salum akiongoza uchaguzi wa kumchagua Mweny...
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Dkt. Christine Ishengoma (aliesimama) akiwashukuru Wajumbe baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo katika uchaguzi uliofanyika jana katika kumbi za Bunge Mjini Dodoma. kushoto kwake (aliekaa) ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Emmanuel Mwakilasa​ (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
COMMENTS