MSHINDI WA TATUMZUKA AWAANDALIA CHAKULA CHA PAMOJA WATOTO WAISHIO KTK MAZINGIRA MAGUMU
HomeJamii

MSHINDI WA TATUMZUKA AWAANDALIA CHAKULA CHA PAMOJA WATOTO WAISHIO KTK MAZINGIRA MAGUMU

Mshindi wa mchezo wa kubahatish wa Tatu Mzuka aitwaye Mrisho Maganga aliyejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 22,hivi karibuni amefa...

BALOZI WA KUWAIT ASHIRIKI KATIKA KONGAMANO LA CHAKAMA
MKURUGENZI MKUU MSD AFANYA ZIARA HOSPITALI JIJINI DAR ES SALAAM
TANESCO YAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU KUBOMOA JENGO LA MAKAO MAKUU


Mshindi wa mchezo wa kubahatish wa Tatu Mzuka aitwaye Mrisho Maganga aliyejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 22,hivi karibuni amefanikiwa kufanya Dua ya kumshukuru Mungu  pamoja na Watoto wa kituo cha Watoto yatima cha Umra Orphanage Center kilichopo Magomeni.Maganga alisema kuwa aliamua  kufanya Dua pamoja na kula chakula cha pamoja na watoto hao ikiwa ni sehemu ya kumshukuru Mungu kwa kila jambo.Alisema mara baada ya kufanikiwa kuzipata zile fedha ameziingiza kwenye miradi yake aliyokwa ameipanga kuifanya muda mrefu.
Pichani kushoto ni Mwakilishi wa Mchezo wa kubahatisha wa Tatu Mzuka Patronela Nicolaus akiwa pamoja na baadhi ya wadau wa Kituo hicho cha Watoto waishio katika mazingira magumu, Umra Orphanage Center kilichopo Magomeni
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MSHINDI WA TATUMZUKA AWAANDALIA CHAKULA CHA PAMOJA WATOTO WAISHIO KTK MAZINGIRA MAGUMU
MSHINDI WA TATUMZUKA AWAANDALIA CHAKULA CHA PAMOJA WATOTO WAISHIO KTK MAZINGIRA MAGUMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjb_akL7myV_xYjkFO8rR9MQvEn-kHcQXJ6b7sO7uIHR4-zKTAx0xfmb9SS89S2XbaLX72HPVjejFf_VmFsk7pjp02Wqua0_zcUuAhrzGkXF0fMh3896IMW3rFY9IvTD6SUUbnnXUsb3AWb/s640/ddd.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjb_akL7myV_xYjkFO8rR9MQvEn-kHcQXJ6b7sO7uIHR4-zKTAx0xfmb9SS89S2XbaLX72HPVjejFf_VmFsk7pjp02Wqua0_zcUuAhrzGkXF0fMh3896IMW3rFY9IvTD6SUUbnnXUsb3AWb/s72-c/ddd.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/mshindi-wa-tatumzuka-awaandalia-chakula.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/mshindi-wa-tatumzuka-awaandalia-chakula.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy