BALOZI WA KUWAIT ASHIRIKI KATIKA KONGAMANO LA CHAKAMA

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Chama cha Kiswahili ...



 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA), Dodoma


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba (kushoto) akizungumza jambo na Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al-Najem mara walipokutana katika Kongamano la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA), Dodoma

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al-Najem mara walipokutana katika Kongamano la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA), Dodoma


 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe (katikati walio kaa) katika pich ya pamoja na maafisa mbalimbali wa serikali, kuanzia kushoto waliokaa ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba na Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al-Najem.


Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al-Najem ameshiriki katika Kongamano la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki CHAKAMA ambalo limefanyika siku mbili katika mji mkuu Dodoma, kongamano hilo lilihudhuriwa na maafisa mbalimbali wa serikali akiwemo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Afrika Mashariki Dkt Suzan Kolimba ambao walitoa shukrani zao kwa Ubalozi wa Kuwait kutokana na mchango wake katika kufadhili baadhi ya gharama za kongamano hilo baada ya kupokea ombi kutoka wizara ya Nje.
Balozi Al-Najem alitoa hotuba katika kongamano hilo ambapo alieleza kuwa swala la kubadilisha biashara na utamaduni baina ya nchi za Ghuba na mataifa ya Afrika Mashariki lilikuwepo  tangu mwanzoni mwa karne ya ishirini, bandari za Dar es salaam, Zanzibar, na Mombasa zilikuwa kimbilio la wafanyabiashara, na kwa sifa ya kipekee meli za Kuwait zilikuwa zikitia nanga katika bandari hizo na tunaweza kusema kuwa hakuna nyumba ya Kikuwait ilikuwa inakosa nguzo za ujenzi ambazo zilikuwa zinaletwa kutoka Afrika Mashariki.
Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki CHAKAMA kilichoanzishwa mwaka 2002 kiliandaa kongamano hilo ambalo pia lilihudhuriwa na wawakilishi kutoka Zanzibar, Kenya, Uganda, Ghana na Zimbabwe.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BALOZI WA KUWAIT ASHIRIKI KATIKA KONGAMANO LA CHAKAMA
BALOZI WA KUWAIT ASHIRIKI KATIKA KONGAMANO LA CHAKAMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhco-tiXWaglUg9ItfiWVclYkFeAbTpXaF1uXyas5UKOpBkq2jb2MV1Sjf3kS5xWMMqDVIHYbb_u7lYCLA8xUl7e1l0Z30k2QBWjecdje_xxAu0ALIzvExQ78ZIpBiryZqPq_ph9WvayUUD/s640/IMG-20171127-WA0002.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhco-tiXWaglUg9ItfiWVclYkFeAbTpXaF1uXyas5UKOpBkq2jb2MV1Sjf3kS5xWMMqDVIHYbb_u7lYCLA8xUl7e1l0Z30k2QBWjecdje_xxAu0ALIzvExQ78ZIpBiryZqPq_ph9WvayUUD/s72-c/IMG-20171127-WA0002.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/balozi-wa-kuwait-ashiriki-katika.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/balozi-wa-kuwait-ashiriki-katika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy