MBARAWA AMKABIDHI NAIBU SPIKA MWONGOZO WA WATUMIAJI WA HUDUMA NA BIDHAA ZA MAWASILIANO
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa pili kushoto) akimkabidhi Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson  (wa pili kulia) Mwongozo wa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano kwa niaba ya Wabunge. Wakishuhudia  watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Mawasiliano Mhandisi Anjelina Madete na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kilaba. Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Spika, Bungeni mjini Dodoma.


HomeJamii

MBARAWA AMKABIDHI NAIBU SPIKA MWONGOZO WA WATUMIAJI WA HUDUMA NA BIDHAA ZA MAWASILIANO

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa pili kushoto) akimkabidhi Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muung...

HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOZINDUWA KIWANDA CHA MOUNT MERU OIL MILLERS, SINGIDA MACHI 11,2018
TANZANIA NA UFARANSA KUSHIRIKIANA ELIMU YA JUU
SERIKALI YAJIPANGA KUPOKEA MRADI WA GLOBAL LEARNING XPRIZE





Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akionesha Mwongozo wa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kwa niaba ya Wabunge. Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Spika, Bungeni mjini Dodoma.





Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimweleza Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson  (wa kwanza kulia) umuhimu wa Mwongozo wa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano kwa Wabunge mara baada ya kumkabidhi Mwongozo huo kwa niaba ya Wabunge ili waweze kusoma, kuelewa na kuelimisha wananchi namna ya kutumia vema huduma na bidhaa za mawasiliano nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Spika, Bungeni mjini Dodoma.



 Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kilaba (wa kwanza kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson  (wa kwanza kulia) kuhusu Mwongozo wa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kwa niaba ya Wabunge. Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Spika, Bungeni mjini Dodoma



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MBARAWA AMKABIDHI NAIBU SPIKA MWONGOZO WA WATUMIAJI WA HUDUMA NA BIDHAA ZA MAWASILIANO
MBARAWA AMKABIDHI NAIBU SPIKA MWONGOZO WA WATUMIAJI WA HUDUMA NA BIDHAA ZA MAWASILIANO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-l8CWgvy13MtjpzLBi2k7PsROoQ0xdRxZ5RqrGFOtjtyqhmtuPMh2hUVsATu3-0-zXln3EZcs_lBdFdFAQTzr6y4SDqjDb92kRblgjMjq7OQtZoq30rS5hKTmNceeYAkj9pEAN-ZChMc/s640/JPEG.+NA.1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-l8CWgvy13MtjpzLBi2k7PsROoQ0xdRxZ5RqrGFOtjtyqhmtuPMh2hUVsATu3-0-zXln3EZcs_lBdFdFAQTzr6y4SDqjDb92kRblgjMjq7OQtZoq30rS5hKTmNceeYAkj9pEAN-ZChMc/s72-c/JPEG.+NA.1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/mbarawa-amkabidhi-naibu-spika-mwongozo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/mbarawa-amkabidhi-naibu-spika-mwongozo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy