WAJASILIAMALI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO YA SIDO KIKAMILIFU
HomeJamii

WAJASILIAMALI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO YA SIDO KIKAMILIFU

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sporah Lyana akiongea na wajasiliamali mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akifunga mafunzo yaliyok...

SIKU YA PILI YA SAFARI YA WANAHABARI NA ASKARI WA JESHI LA ULINZI KUELEKEA KILELE CH UHURU, MLIMA KILIMANJARO
MAWAZIRI WAPONGEZA PPF, NSSF KWA KUUNGANISHA NGUVU KUWEKEZA KWENYE KIWANDA KIKUBWA CHA MIWA MKOANI MOROGORO
SAA 144 ZA MAXENCE MELO NDANI YA MAHABUSU!



Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sporah Lyana akiongea na wajasiliamali mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akifunga mafunzo yaliyokuwa yameandaliwa na SIDO jijini Dar es Salaam yenye lengo la kuwajengea uwezo na kuzipa thamani bidhaa wanazozitengeza. Pembeni yake ni Meneja wa SIDO Dar es Salaam, McDonald Maganga. (Picha na Cathbert Kajuna -KAJUNASON/MMG).



Meneja wa SIDO Dar es Salaam, McDonald Maganga akitolea ufafanuzi mafunzo hayo ambayo wamekuwa wakiyatoa kwa wajasiliamali mbali mbali ili kuwajengea uwezo wa kuzipa thamani bidhaa zao wanazozitengeneza.



Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sporah Lyana (wa nne kutoka kushoto) na Meneja wa SIDO Dar es Salaam, McDonald Maganga anayemfuatia wakifurahia jambo na wajasiliamali mara baada ya kuhudhuria sherehe ya kufunga kwa mafunzo yao.


Wajasiliamali wakifurahia bidhaa walizozitenegeza wakati wa mafunzo.
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sporah Lyana akipata maelekezo ya bidhaa walizozitenegeza wakati wa mafunzo. 
Wajasiliamali wakipokea vyeti.
Wajasiliamali wakiwa katika picha ya pamoja.

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamani.

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sporah Lyana amewataka wajasiliamali mkoa huo kuhakikisha kuwa wanayatumia vyema mafunzo waliyopata kutoka Shirika la Viwanda Vidogo nchini (SIDO).

Lyana amesema hayo jijini Dar es Salaam jana alipokuwa anafunga mafunzo ya siku tano kwa wajasiliamali yanayoendeshwa na Sido kwa ajili ya kuwawezesha wajasiliamali wadogo kuweza kusindika na kuongeza thamani bidhaa mbalimbali.

“sisi kama jiji tumeanda ampango kabambe wa utalii wa mkoa wa Dar es Salaam amabo utaweza kuwasaidia wajasiliamali wa ndani kuuza bidhaa zao hivyo kila mjasiliamali ahakikishe anajianda kwa kuandaa vitu vyaka katika ubora unaohitajika” amesema Lyana.

Aidha mkurugenzi huyo aliweka wazi kuwa kama wajasiliamali wote hao wataweza kufanya kama walivyofundishwa wataweza kumsaidia Rais juu ya kuipelekea nchini yetu katika uchumi wa kati ambao unategemea sana Viwanda hivyo kwa wao kila mmoja kama ataanzisha kiwanda kidogo kutaweza kupunguza tatizo la ajira katika baadahi ya maeneo.

Aliamaliza kwa kutoa wito kwa wadau na watu wengine kwenda kujifunza Sido hili iwe rahisi kurasimisha biashara zao ambazo walikuwa wanafanya kienyeji.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAJASILIAMALI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO YA SIDO KIKAMILIFU
WAJASILIAMALI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO YA SIDO KIKAMILIFU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1GN-SMIdCYXQO8F2d9PAkupw4RgqmmpxY4qhsbLCTBJVS6ZZFoK0iTYasBCJkye0lDH-IA26OW2Z6KCMFI2IT6q-IRLLqx_rtZKUMHeo_zqj5DCFcTqY8OvUZ9GQbgt_x28hYqVj-KGE/s640/IMG_7190.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1GN-SMIdCYXQO8F2d9PAkupw4RgqmmpxY4qhsbLCTBJVS6ZZFoK0iTYasBCJkye0lDH-IA26OW2Z6KCMFI2IT6q-IRLLqx_rtZKUMHeo_zqj5DCFcTqY8OvUZ9GQbgt_x28hYqVj-KGE/s72-c/IMG_7190.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/wajasiliamali-watakiwa-kutumia-mafunzo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/wajasiliamali-watakiwa-kutumia-mafunzo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy