WAFANYAKAZI WA JKCI WAPEWA MAFUNZO NA KAMPUNI YA MEDTRONIC YA MFUMO WA UMEME WA MOYO (ELECTRO-CARDIOGRAM ECG)
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwtete (JKCI) Peter Kisenge na Prof. Ahmed Osman wa Broward General Medical Centre ya nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa Moyo wa bila kufungua kifua na kumuwekea kifaa maalum cha kuusaidia moyo kufanya kazi vizuri  (pace maker) ikiwa ni sehemu ya  mafunzo kwa vitendo yaliyoandaliwa na  kampuni ya Medtronic  tawi la  Kenya ambao ni watengenezaji wa vifaa tiba vya magonjwa ya Moyo.
HomeJamii

WAFANYAKAZI WA JKCI WAPEWA MAFUNZO NA KAMPUNI YA MEDTRONIC YA MFUMO WA UMEME WA MOYO (ELECTRO-CARDIOGRAM ECG)

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwtete (JKCI) Peter Kisenge na Prof. Ahmed Osman wa Broward General ...

DC MTATURU AZINDUA UHABARISHO WA MAFUNZO YA KUIJENGEA UWEZO JAMII KATIKA KUIBUA NA KUPANGA MIRADI YA MAENDELEO
TAMKO LA MTANDAO WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUHUSU MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2017/18
TANESCO YATOA TAARIFA KWA WATEJA WAKE WA ILALA NA TEMEKE DAR ES SALAAM


 

Prof. Ahmed Osman kutoka Broward General Medical Centre ya nchini Marekani akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa mafunzo ya mfumo wa umeme wa Moyo (Electrocardiogram -ECG)  kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo yaliyoandaliwa na  kampuni ya Medtronic tawi la Kenya ambao ni watengenezaji wa vifaa tiba vya magonjwa ya Moyo.


Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa  kampuni ya Medtronic ambao ni watengenezaji wa vifaa tiba vya magonjwa ya Moyo wakati wa  mafunzo ya mfumo wa umeme wa Moyo (Electrocardiogram - ECG) kwa wafanyakazi wa JKCI yaliyoandaliwa na kampuni hiyo.

Prof. Ahmed Osman kutoka Broward General Medical Centre ya nchini Marekani akiwafundisha wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi  mfumo wa umeme wa Moyo (Electrocardiogram -ECG)  unavyofanya kazi mwilini wakati wa mafunzo hayo yanayoenda sambamba na vitendo  ya siku tano   yaliyoandaliwa na kampuni ya Medtronic tawi la Kenya ambao ni watengenezaji wa vifaa tiba vya magonjwa ya Moyo.




Wafanyakazi wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Prof. Ahmed Osman (hayupo pichani) kutoka Broward General Medical Centre ya nchini Marekani akiwafundisha jinsi  mfumo wa umeme wa Moyo (Electrocardiogram -ECG)  unavyofanya kazi mwilini. (Picha na JKCI)












Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAFANYAKAZI WA JKCI WAPEWA MAFUNZO NA KAMPUNI YA MEDTRONIC YA MFUMO WA UMEME WA MOYO (ELECTRO-CARDIOGRAM ECG)
WAFANYAKAZI WA JKCI WAPEWA MAFUNZO NA KAMPUNI YA MEDTRONIC YA MFUMO WA UMEME WA MOYO (ELECTRO-CARDIOGRAM ECG)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZTfeyW-oSLlKH5dCWFFy6wA8LES4LCtBdf_a22Nq9VA5f-g-xRns3gfpsfypqPt9kBbNu23YnyoTdWBOYDIfFkFM4_C67hDN2vZ8Q-Ex3OcEDdvULQRcXy4oPqjogQvmP1r9NwspX1uw/s640/Picha+no.+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZTfeyW-oSLlKH5dCWFFy6wA8LES4LCtBdf_a22Nq9VA5f-g-xRns3gfpsfypqPt9kBbNu23YnyoTdWBOYDIfFkFM4_C67hDN2vZ8Q-Ex3OcEDdvULQRcXy4oPqjogQvmP1r9NwspX1uw/s72-c/Picha+no.+1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/wafanyakazi-wa-jkci-wapewa-mafunzo-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/wafanyakazi-wa-jkci-wapewa-mafunzo-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy