TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA, MSIBA UKO SINZA MKABALA NA KITUO CHA SIMU 2000 DAR ES SALAAM
HomeJamii

TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA, MSIBA UKO SINZA MKABALA NA KITUO CHA SIMU 2000 DAR ES SALAAM

TANZIA: Familia ya Bwana Sylvester Manase Matunda Lema, wa Sinza mkabala na kituo cha daladala Simu 2000 jijini Dar es Salaam, ...

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO JANUARI 31 2018
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA PASIPOTI MPYA YA TANZANIA YA KIELEKTRONIKIA
WAFANYAKAZI WA JKCI WAPEWA MAFUNZO NA KAMPUNI YA MEDTRONIC YA MFUMO WA UMEME WA MOYO (ELECTRO-CARDIOGRAM ECG)



TANZIA:
Familia ya Bwana Sylvester Manase Matunda Lema, wa Sinza mkabala na kituo cha
daladala Simu 2000 jijini Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mama
yao, Bibi.Lulu Sylvester kilichotokea katika Hospitali ya Agha Khan tarehe 20/01/ 2018 majira ya saa 10;30
alfajiri.

Maandalizi
ya mazishi yanafanyika nyumbani kwa marehemu Sinza mkabala na kituo cha
daladala Simu 2000.

Mwili utaagwa Jumatano Januari 24, 2018 kuanzia saa 8 mchana Kanisani KKKT Usharika wa Sinza -Kumekucha.

Mwili wa marehemu utasafirishwa siku ya Alhamisi tarehe 25/01/2018 kuelekea Kijiji cha Nronga-Machame, wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA, MSIBA UKO SINZA MKABALA NA KITUO CHA SIMU 2000 DAR ES SALAAM
TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA, MSIBA UKO SINZA MKABALA NA KITUO CHA SIMU 2000 DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGKGhqhrPBtB2604WP-_yDJJwXsde73DbDu1UHzJw9ibGIo_6xbaQV0Y4YsciCsx4gXfjV7rRERBiRHyRRtcxkq0H0KU6fnnwzTyPijnibqZmAjccpGMaARqDpvUCT3Uktxib1_2LqQMjJ/s320/5R5A4458.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGKGhqhrPBtB2604WP-_yDJJwXsde73DbDu1UHzJw9ibGIo_6xbaQV0Y4YsciCsx4gXfjV7rRERBiRHyRRtcxkq0H0KU6fnnwzTyPijnibqZmAjccpGMaARqDpvUCT3Uktxib1_2LqQMjJ/s72-c/5R5A4458.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/tanzia-bibi-lulu-akida-silvester.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/tanzia-bibi-lulu-akida-silvester.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy