YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO JANUARI 31 2018
HomeJamii

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO JANUARI 31 2018

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo ...

UBALOZI WA MAREKANI WATOA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI KWA WANAMITANDAO
TANAPA YAWAPA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI NA UPIGAJI PICHA WAHIFADHI UJIRANI MWEMA NCHINI
TANZANIA YATILIANA SAINI NA MFUKO WA MAENDELEO KIUCHUMI WA KUWAIT




Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.




Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akisoma muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma wa Mwaka 2017 leo Bungeni mjini Dodoma.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe.Kpt.George Mkuchika akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.



Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji, Mhe.Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.




Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Subira Mgalu akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Madini Mhe.Dotto Biteko akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.




Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe.Zitto Kabwe wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.



Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe. Nape Nnauye akizungumza jambo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe.Zitto Kabwe wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.




Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamis Kigwangalla akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Subira Mgalu wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma. (Picha na Daudi Manongi, MAELEZO, DODOMA)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO JANUARI 31 2018
YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO JANUARI 31 2018
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOj8FXgSkYPBSOxSBMhj1gbN1phNXOc_mEYLjq6Rc35mDuk9KVeIrDqjlFAYOcJWoZHUXmit08E1h1cgM57ibb9DqENRKrbHAMLczL99PFXysEAyG6V02cPiERyYjD5KLjYd31AH9N8WY/s640/Pix+1+Mhe.Chenge.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOj8FXgSkYPBSOxSBMhj1gbN1phNXOc_mEYLjq6Rc35mDuk9KVeIrDqjlFAYOcJWoZHUXmit08E1h1cgM57ibb9DqENRKrbHAMLczL99PFXysEAyG6V02cPiERyYjD5KLjYd31AH9N8WY/s72-c/Pix+1+Mhe.Chenge.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/yaliyojiri-bungeni-mjini-dodoma-leo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/yaliyojiri-bungeni-mjini-dodoma-leo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy