Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayemaliza mud...
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayemaliza muda wake Profesa
Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayemaliza muda wake Profesa
Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha na Gavana Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Profesa
Florens Luoga Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Gavana Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga akipongezana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
PICHA NA IKULU |
COMMENTS