Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na waliokuwa Wanafunzi wenzake wakati anasoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani walipom...
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na waliokuwa Wanafunzi wenzake wakati anasoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Anayesalimiana na Mhe. Spika ni Ndg. Sadiki Alli na wengine kutoka kushoto ni Ndg. Jackson Kalikumtima, Eng. Hussein Mzara na Ndg. David Mchaina.
SPIKA DUGAI ALIPOKUTANA NA WALIOKUWA WANAFUNZI WENZAKE WAKATI ANASOMA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA
Labels:
Jamii 3473Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza...
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kufunga mafunzo ya ...
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake mashindano Dar es Sal...
COMMENTS