RAIS DKT MAGUFULI AZINDUZI WA MAGARI 181 YA BOHARI KUU YA MADAWA (MSD) JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua ghala ya dawa  kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018. Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.

HomeJamii

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUZI WA MAGARI 181 YA BOHARI KUU YA MADAWA (MSD) JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua ghala ya dawa    kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181...



Sehemu ya  magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) yaliyozinduliwa  jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru  Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison wakati akijaribu moja ya magari  181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini  Dar es Salaam leo Machi 26, 2018.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari  181 ya  Bohari kuu ya Madawa (MSD)  aliyozindua jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018. Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya  Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global  Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia
kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.



Sehemu ya wafanyakazi wa MSD wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  wakati akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es Salaam leo Machi 26, 2018.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe 
kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018. Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison akijaribu moja ya magari  181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini  Dar es Salaam leo Machi 26, 2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongozana na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison wakati akijaribu moja ya magari  181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini  Dar es Salaam leo Machi 26, 2018.

PALE WAPIGA PICHA WANAPOPIGWA PICHA - Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari 
wakiupiga picha msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akiwa na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison  (chini kushoto) na viongozi wengine wakati  wakielekea kukagua  magari  181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini  Dar es Salaam leo Machi 26, 2018. (Picha  na IKULU)







Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI AZINDUZI WA MAGARI 181 YA BOHARI KUU YA MADAWA (MSD) JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUZI WA MAGARI 181 YA BOHARI KUU YA MADAWA (MSD) JIJINI DAR ES SALAAM LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmXvENOJpvLVin9ciLWcj-v0DtCFP-51YKwlB1YeauHr2F1FD8LDgqGRlUDudKj0shyyQRHOFZLY_I0twbh7arXCKdm0ydZaP1YKl6QFDUBEe5yH8xBu9chRMzEP-3nEXGRLNc8MkUEs0/s640/m+%25282%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmXvENOJpvLVin9ciLWcj-v0DtCFP-51YKwlB1YeauHr2F1FD8LDgqGRlUDudKj0shyyQRHOFZLY_I0twbh7arXCKdm0ydZaP1YKl6QFDUBEe5yH8xBu9chRMzEP-3nEXGRLNc8MkUEs0/s72-c/m+%25282%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/rais-dkt-magufuli-azinduzi-wa-magari.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/rais-dkt-magufuli-azinduzi-wa-magari.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy