Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo alijumuika na Viongozi pamoja na wananchi Mazizini kwenye msiba wa Marehemu Said Abdalla...
Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo alijumuika na Viongozi pamoja na wananchi Mazizini kwenye msiba wa Marehemu Said Abdallah Natepe
Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
|
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Idd akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
|
Mwili wa marehemu Said Natepe ukiswalia kabla ya kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Mwache
|
Mwili wa marehemu Said Natepe ukibebwa tayari kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Mwache
|
Mwili wa marehemu Said Natepe ukibebwa tayari kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Mwache
|
COMMENTS