WIZARA YA AFYA YAPEWA MSAADA WA VITANDA, MAGODORO NA VYANDARUA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla (wa pili kushoto) akipokea moja ya magodoro 50 kutoka kwa  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Merck, Stefan Maron Dar es Salaam leo. Pamoja nao (kulia) viongozi waandamizi wa Kampuni ya Merck na viongozi wa wizara hiyo (kushoto). Vitanda 50, magodoro 50 na vyandarua 100 vilikabidhiwa kwa Wizaya hiyo.
WIZARA YA AFYA YAPEWA MSAADA WA VITANDA, MAGODORO NA VYANDARUA


HomeJamii

WIZARA YA AFYA YAPEWA MSAADA WA VITANDA, MAGODORO NA VYANDARUA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla (wa pili kushoto) akipokea moja ya mago...

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MRISHO GAMBO
TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE
MZALISHAJI MBEGU APATA TUZO YA UJASIRIAMALI YA CITI FOUNDATION





Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Merck, Stefan Maron (wa pili kushoto) na wageni wengine waliohudhuria hafla hiyo.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Merck, Stefan Maron leo.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla akiongea na watendaji wa kampuni ya Merck kabla ya kupokea msaada wa vitanda 50, magodoro 50 na Vyandarua 100 jijini Dar es Salaam leo. (Imeandaliwa na Robert Okanda)





Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WIZARA YA AFYA YAPEWA MSAADA WA VITANDA, MAGODORO NA VYANDARUA
WIZARA YA AFYA YAPEWA MSAADA WA VITANDA, MAGODORO NA VYANDARUA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdk97i64ioujlAbw0-iqIaSaIuKL-m-lEcr7mzMsp0NpP3rmgxB2pquf8SP5yCBGTayV7dDyVZSjoklcxgSe_D5W4UZr7XsVBycjznTXrIwEfqIljHCpBoQY3MGKMF7M8UBNBaMinlsO8/s640/B1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdk97i64ioujlAbw0-iqIaSaIuKL-m-lEcr7mzMsp0NpP3rmgxB2pquf8SP5yCBGTayV7dDyVZSjoklcxgSe_D5W4UZr7XsVBycjznTXrIwEfqIljHCpBoQY3MGKMF7M8UBNBaMinlsO8/s72-c/B1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wizara-ya-afya-yapewa-msaada-wa-vitanda.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wizara-ya-afya-yapewa-msaada-wa-vitanda.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy