MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na  Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na ...





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume Pemba tayari kwa ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed wakati alipowasili Konde tayari kwa  ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohamed Aboud Mohamed mara baada ya kuwasili Konde tayari kwa  ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na na Viongozi mbali mbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na na Viongozi mbali mbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipongezana na viongozi wengine mara baada ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba. 





Sehemu ya wananchi waliohudhuria hafla fupi ya ufunguzi wa soko jipya la Konde lililopo Konde, Micheweni,Pemba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wakishiriki dua wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba. 





COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgx8pP2hYzDf_87Oimi5yaDq_8zHNnfmKYHsQkI70hpoJyW4Fgj1_CU-tIzgCA1cc2jXf-l2e3Hu9K0iHwCKuiVLBqxHEa9axko0MXYW6rWATr1W6lg10EhS-Ak2kWBUhZdg-w19zi61uo/s640/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgx8pP2hYzDf_87Oimi5yaDq_8zHNnfmKYHsQkI70hpoJyW4Fgj1_CU-tIzgCA1cc2jXf-l2e3Hu9K0iHwCKuiVLBqxHEa9axko0MXYW6rWATr1W6lg10EhS-Ak2kWBUhZdg-w19zi61uo/s72-c/2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-afungua-soko-la-konde.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-afungua-soko-la-konde.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy