TAMKO LA JUMUIA YA WAZAZI YA CCM KUTENGUA MATOKEO YA UJUMBE WA NEC KUTOKA WAZAZI - BARA
HomeSiasa

TAMKO LA JUMUIA YA WAZAZI YA CCM KUTENGUA MATOKEO YA UJUMBE WA NEC KUTOKA WAZAZI - BARA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Edmund Bernard Mndolwa ametengua ushindi wa Ndg. Ngingite Nassoro Mohamed ambaye...

CCM ITAPAMBANA KURUDISHA KATA ZA JIMBO LA SEGEREA: ANGELA KAIRUKI
WABUNGE WA VITI MAALUMU CCM MKOA WA DAR, WAFANYA ZIARA KUHAMASISHA WANACHAMA NA KUIMARISHA UHAI WA CHAMA KUELEKEA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WA CCM UWT
DKT. MABODI: CCM INAFANYA SIASA ZA USHINDANI WA SERA ZA MAENDELEO


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Edmund Bernard Mndolwa ametengua ushindi wa Ndg. Ngingite Nassoro Mohamed ambaye alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kupitia Jumuiya ya Wazazi (Bara) baada ya kubaini uwepo wa kasoro kubwa katika uhesabuji wa kura wakati wa uchaguzi.

Kufuatia uamuzi huo Dkt. Edmund Mohamed Mndolwa amemtangaza Ndg. Kitwala Erick Komanya kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kupitia Jumuiya ya Wazazi (Bara).



Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Edmund Benard Mndolwa akizungumzia kuhusu kutengua ushindi wa mjumbe mmoja aliyechaguliwa kuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jumuiya ya Wazazi kwa upande wa Tanzania bara.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAMKO LA JUMUIA YA WAZAZI YA CCM KUTENGUA MATOKEO YA UJUMBE WA NEC KUTOKA WAZAZI - BARA
TAMKO LA JUMUIA YA WAZAZI YA CCM KUTENGUA MATOKEO YA UJUMBE WA NEC KUTOKA WAZAZI - BARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjF5fjwtkZ3K33_-AScHHmkf02ecaPQp2EcaushBdJ3eJ37z9-z38A8RvDRoCKMdBXyzSuNejEctkhCFCuO-WwZl_ZbmEDuXeWr9FFOa1OBvsXNUjenkVP11f1Tot5L1VpMnlKEwsgMO3Y2/s640/1-7.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjF5fjwtkZ3K33_-AScHHmkf02ecaPQp2EcaushBdJ3eJ37z9-z38A8RvDRoCKMdBXyzSuNejEctkhCFCuO-WwZl_ZbmEDuXeWr9FFOa1OBvsXNUjenkVP11f1Tot5L1VpMnlKEwsgMO3Y2/s72-c/1-7.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/tamko-la-jumuia-ya-wazazi-ya-ccm.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/tamko-la-jumuia-ya-wazazi-ya-ccm.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy