Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa mawakala wa U...
![]() |
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Double Tree, kufungua Mkutano huo.
|
![]() |
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal.
|
![]() |
Baadhi ya wadau wakifuatilia matukio ya mkutano huo
|
![]() |
Rais wa FIATA, Stanley Lim, akizungumza wakati waka wa ufunguzi wa mkutano huo.
|
![]() |
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua mkutano huo.
|
![]() |
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal na Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, wakiwa na baadhi ya washiriki wa mkutano huo. (Picha na OMR)
|
01:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mawakala wa Usafirishaji wa Majini kwa nchi za Mashariki ya Kati kwa Afrika, uliaoanza jijini Dar es Salaam leo Juni 19, 2013 unaofanyika kwa siku nne.
1:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Double Tree, kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mawakala wa Usafirishaji wa Majini kwa nchi za Mashariki ya Kati kwa Afrika, uliaoanza jijini Dar es Salaam leo Juni 19, 2013 unaofanyika kwa siku nne.
2 na 3:- Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa mkutano huo.
4:- Rais wa FIATA, Stanley Lim, akizungumza wakati waka wa ufunguzi wa kutano huo.
5:- Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua mkutano huo.
6:-
COMMENTS