TMA YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI UANDISHHI WA HABARI ZA HALI YA HEW
HomeJamii

TMA YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI UANDISHHI WA HABARI ZA HALI YA HEW

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Dk Agnes Kijazi akizungumza alipokuwa akifungua semina ya kwa baadhi ya waandis...





 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Dk Agnes Kijazi akizungumza alipokuwa akifungua semina ya kwa baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari juu ya uandishi wa habari za hali ya hewa. Wengine kutoka kulia ni Bi. Mariam Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Huduma Saidizi wa TMA na Mkurugenzi Huduma za Utabiri TMA, Dk. Hamza Kabelwa.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Dk Agnes Kijazi akizungumza alipokuwa akifungua semina ya kwa baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari juu ya uandishi wa habari za hali ya hewa. Wengine kutoka kulia ni Mkurugenzi Matumizi Matumizi ya Hali ya Hewa, Dk. Ladslaus Chang'a , Meneja Ofisi Kuu ya Utabiri, Samwel Mbuya, pamoja na Mkurugenzi Huduma za Utabiri TMA, Dk. Hamza Kabelwa.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini Tanzania leo imewapa semina baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari juu ya uandishi wa habari za hali ya hewa. Akizungumza wakati akifungua semina hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Dk Agnes Kijazi alisema semina hiyo ni utaratibu wa TMA kuwajengea uwezo wanahabari ili waweze kuwa mabalozi wa zuri wa kutoa elimu kwa umma juu ya matumizi mazuri ya taarifa za utabiri wa hali ya hewa zinazotolewa na TMA kwa wananchi.
Alisema wanahabari inabidi wazielewe vizuri, kuzichambua na kuwafikishia taarifa za utabiri wa hali ya hewa kiusahihi wananchi jambo ambalo litasaidia wananchi na sekta mbalimbali kujipanga kukabiliana na ama athari zitokanazo na utabiri wa hali ya hewa.
"...Semina kama hizi kwanza zinasaidia wanahabari kuelewa masuala mbalimbali yatokanayo na taarifa zetu za utabiri, kisha wao kuelimisha jamii zaidi kuhusiana na taarifa zetu kupitia vyombo vyao mbalimbali vya habari. Kundi hili likielewa vizuri nao watakuwa mabalozi wazuri kufikisha ujumbe kupitia kalamu zao," alisema Dk Agnes Kijazi.
Aidha pamoja na mafunzo hayo, TMA pia ilipokea mrejesho na ushauri kutoka kwa wanahabari ili kuboresha zaidi namna ya utoaji wa taarifa za utabiri wa hali ya hewa kwa umma.



 Picha ya pamoja ya washiriki wa semina kwa baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari juu ya uandishi wa habari za hali ya hewa.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TMA YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI UANDISHHI WA HABARI ZA HALI YA HEW
TMA YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI UANDISHHI WA HABARI ZA HALI YA HEW
https://blogger.googleusercontent.com/img/proxy/AVvXsEiKIN1sTyJsWsYtqF7O50donHP6kJ-77vIdYSdWZiNrdNBGv96NvUsElEzPdq7xeqjJZpc9YqTQwotn7q-H3donBQxUSIkO0HhdHPK-36uN-N51FyL7SFPgNs8KBzuvFgOcVKGFG8G6495fApvylUUGjFcGuNpoNUAPLKvRRjaLX1BKwzrkympYAgJvjFdv7muUAVzFaYltNsCtXgF-uQBVxhsoNfe6tOY=s0-d-e1-ft
https://blogger.googleusercontent.com/img/proxy/AVvXsEiKIN1sTyJsWsYtqF7O50donHP6kJ-77vIdYSdWZiNrdNBGv96NvUsElEzPdq7xeqjJZpc9YqTQwotn7q-H3donBQxUSIkO0HhdHPK-36uN-N51FyL7SFPgNs8KBzuvFgOcVKGFG8G6495fApvylUUGjFcGuNpoNUAPLKvRRjaLX1BKwzrkympYAgJvjFdv7muUAVzFaYltNsCtXgF-uQBVxhsoNfe6tOY=s72-c-d-e1-ft
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/tma-yawajengea-uwezo-wanahabari.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/tma-yawajengea-uwezo-wanahabari.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy