MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania ...

RAIS MAGUFULI AMTEUA MAMA SALMA KIKWETE KUWA MBUNGE
OPERESHENI YA VIROBA YAFUMANIA KIWANDA CHA NYATI SPRIT KUWA VIROBA
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA AMEWATAKA WAZIMAMIZI WA MIRADI YA MATENGENEZO YA YA BARABARA KUZINGATIA TAALUMA

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy
Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania
Elizabeth Arthur wakikagua vyoo bora vinavyotumika na Wanafunzi wa shule ya Msingi  Humekwa,wilayani Chamwino mapema leo,ambapo Mh. Ummy amekagua usafi wa Mazingira pamoja na vyoo bora,
ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira  iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni  rasmi.

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy
Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania
Elizabeth Arthur wakikagua vyoo bora vinavyotumika na Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Humekwa,wilayani Chamwino mapema leo, ambapo Mh. Ummy  amekagua usafi wa Mazingira pamoja na vyoo bora,
ikiwa ni sehemu ya  kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa  Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy
Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania
Elizabeth Arthur wakiangalia  namna Kibuyu Chilizi kinavyosaidia
kuepukana na magonjwa ya matumbo, kuhara pamoja na kipindupindu.

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu  akiwa ameongoza na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe.Vumilia
Nyamonga, Mganga Mkuu wa Mkoa hospitali ya Dodoma, Dkt James Charles
pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur
wakitoka kukagua mazingira ya usafi wa zahanati ya kijiji Humekwa
wilayani Chamwino mapema leo, ambapo Mh.Ummy amekagua usafi wa Mazingira pamoja  na vyoo bora, ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya  kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI', ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia  Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza mapema leo mbele ya Wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino mkoani Dodoma,na baadae kujibu kero kadhaa za wananchi huo kuhusiana sekta ya Afya katika kijiji hicho na kufanya ukaguzi wa Usafi wa Mazingira na Vyoo bora ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
 
Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur, ambao
pia ni baadhi ya Wafadhiri wa Mazingira na Usafi katika sehemu
mbalimbali hapa nchini,akiwasalimia baadhi wa wanakijiji cha Humekwa
wilayani Chamwino, waliofika kwenye mkutano wa hadhara,ambapo mgeni rasmi alikuwa WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe.  Ummy Mwalimu ambaye alifika katika kijiji hicho kukagua Usafi wa
Mazingira na Vyoo bora kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya
Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu
Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Kulia ni Mganga Mkuu
hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Dkt James Charles pamoja na Mkuu wa Wilaya  ya Chamwino Mhe. Vumilia Nyamonga.

Mmoja wa Wanafunzi wa shule ya Msingi Humekwa,katika kijiji cha Humekwa wilayani Chamwino akinawa mikono kwa kutumia maji ya kibuyu chilizi  pamoja sabuni mara baada ya kutoka chooni, kuepuka kuambukizwa na  magonjwa mbalimbali ikiwemo Kipindupindu.

Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe.Vumilia Nyamonga akimkaribisha
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu  kuzungumza na Wananchi na kusikiliza kero zao kuhusiana na sekta ya  afya, ambapo alifanya ukaguzi wa Usafi wa Mazingira na Vyoo bora katika  kijiji hicho cha Humekwa, ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu  ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa  'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa  Tanzania Mh. Samia suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy
Mwalimu akiserebuka na moja ya kikundi cha Ngoma mapema leo, alipowasili  katika kijiji cha Humekwa, kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani  Dodoma, alipokwenda kukagua Usafi wa Mazingira na Vyoo bora kuelekea  uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira  iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni  rasmi.

Baadhi ya wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino,wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa hadhara,ambapo mgeni rasmi
alikuwa WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe.
Ummy Mwalimu ambaye amefika katika kijiji hicho kukagua Usafi wa
Mazingira na Vyoo bora kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya
Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu  Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

Baadhi ya wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino, wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa hadhara,ambapo mgeni rasmi
alikuwa WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mhe.
Ummy Mwalimu ambaye amefika katika kijiji hicho kukagua Usafi wa
Mazingira na Vyoo bora kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya
Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia suluhu
hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
 (PICHA NA MICHUZIJR-DODOMA)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg77uOReoA2C66fAxA8TdIX7eDWmsO38IDBmp5IQd3j7hXRve37MPeg1vNUQfwMQK7jpDchbkP6cN9VALYrosTvfhfsPT1JNNn7CdmjiCf1pNtVQm6LikUq4T6D-Y3-9uXiaOYrjob4SCPm/s640/12.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg77uOReoA2C66fAxA8TdIX7eDWmsO38IDBmp5IQd3j7hXRve37MPeg1vNUQfwMQK7jpDchbkP6cN9VALYrosTvfhfsPT1JNNn7CdmjiCf1pNtVQm6LikUq4T6D-Y3-9uXiaOYrjob4SCPm/s72-c/12.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-mama-samia-suluhu-hassan.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-mama-samia-suluhu-hassan.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy