KAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAVIPIGA JEKI VITUO VYA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU
HomeJamii

KAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAVIPIGA JEKI VITUO VYA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU

   Mkurugenzi wa Msama Promotions,  Alex Msama akishiriki kushusha vifurushi vya mchele,ambavyo baadae alivitoe kwa vituo vya watoto w...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA TAMASHA LA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM LEO
OLOLOSOKWAN YAZINDUA UTABIBU KWA NJIA YA TEHAMA
DC NDEJEMBI AZINDUA KAMPENI YA ONDOA NJAA KONGWA (ONJAKO)

 Mkurugenzi wa Msama Promotions,  Alex Msama akishiriki kushusha vifurushi vya mchele,ambavyo baadae alivitoe kwa vituo vya watoto waishia katika mazingira Magumu,makabidhiano ya msaada huo yalifanyika kwenye ofisi zake Kinondoni jijini Dar.

 Mkurugenzi wa Msama Promotions,Bwa.Alex Msama akikabidhi zawadi ya vyakula kwa ajili ya sikukuu za Krisimasi na Mwaka Mpya kwa mlezi wa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu cha Mwandaliwa-Boko jijini Dar,Bi.Halima Mpeta. 

Kampuni ya Msama Promotions imetoa msaada wa vyakula mbalimbali  kwa baadhi ya vituo vya watoto waishio katika mazingira magumu,vilivyopo jijini Dar Es Salaam.

Akizungumza na Wanahabari wakati wa makabidhiano ya msaada huo,Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,Alex Msama alisema kuwa kama ilivyo ada ya kampuni yake,kila ifikapo mwishoni mwa mwaka hutoa sadaka kwa vituo mbalimbali vya watoto waishio katika mazingira Magumu.

"Nimeamua kufanya hivi pia kuwakumbuka wototo wetu wanaoishi katika mazingira magumu,na wao washerehekee sikukuu kwa furaha kama wenzao,kwa hiyo nimetoa unga,mchele,mafuta,viywaji mbalimbali na vingine ili watoto hao nao kwa pamoja wafurahie msimu wa siku kuu",alisema Msama.

Nae mlezi wa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu cha Mwandaliwa-Boko jijini Dar,Bi.Halima Mpeta ameishukuru Kampuni ya Msama Promotions na Uongozi wake kwa kuwakumbuka katika msimu huu,wamemshukuru na kumuombea Heri zaidi afanikiwe katika mambo yake ili azidi kuwakumbuka na kuwasaidia wasiojiweza katika maeneo mbalimbali.

 Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama akimkabidhi msaada wa vyakula mmoja wa Viongozi wa kituo hicho cha watoto waishia katika mazingira Magumu cha Maunga,Kinondoni jijini Dar Es Salaamu.
Mwakilishi wa kituo cha TOVICHIDO, Bi Honoratha Michael akipokea msaada wa vyakula kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,Alex Msama ,hafla hiyo fupi ilifanyika ofisini kwake Kinondoni Jiini Dar.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAVIPIGA JEKI VITUO VYA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU
KAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAVIPIGA JEKI VITUO VYA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxOqvy-sXSDD6Ir9MDJIayHCPUDRZsEiR0UmM4z_QjjMllo-MNvyfpbyRvz91ufKgLTRzuWUNj3dNOdvSdMb69N8TZzOR4sVWBrqywBi6Hu6yHqCc88HMoqHdr_b_tX01AjZd2E8HARqrn/s640/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxOqvy-sXSDD6Ir9MDJIayHCPUDRZsEiR0UmM4z_QjjMllo-MNvyfpbyRvz91ufKgLTRzuWUNj3dNOdvSdMb69N8TZzOR4sVWBrqywBi6Hu6yHqCc88HMoqHdr_b_tX01AjZd2E8HARqrn/s72-c/2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/kampuni-ya-msama-promotions-yavipiga.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/kampuni-ya-msama-promotions-yavipiga.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy