HomeJamii

MKUTANO WA UWEKEZAJI WA AFRIKA WAFUNGULIWA NA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU

Makamu wa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amefungua mkutano wa pili wa Biashara, Ujasiriamali ...

TTCL YANOGESHA SHEREHE ZA CHRISMAS VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR
GODFREY SINYANGWE NA ESTHER WALIVYOSHEREHEA HARUSI YAO JIJINI MWANZA
WENGI WAJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MPOKI BUKUKU TABATA

Makamu wa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amefungua mkutano wa pili wa Biashara, Ujasiriamali na Maonyesho wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioandaliwa na Baraza la Biashara la Afrika Mashariki.
Katika mkutano huo ambao unazikutanisha sekta Serikali na Sekta binafsi kutoka nchi wanachama, Makamu wa Rais alisisititiza kuwa pamoja na kuelekea kwenye kujenga Afrika Mashariki ya Viwanda ni muhimu viwanda hivi vitumie malighafi zinazozaliwa ndani ya Afrika Mashariki.
Makamu wa Rais alisema kujenga uchumi wa viwanda uendane na maboresho ya sera ya viwanda ili itoe uwanja mpana wa kuajiri vijana wengi zaidi.
Makamu wa Rais alihimiza kuwa Viwanda vitakavyojengwa viende sambamba na kilimo kwani kwa pamoja ndipo tunaweza ona mafanikio na ukuaji wa uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa Ujumla.
Makamu wa Rais alimalizia kwa kusema kuwa Serikali na Sekta binafsi zinawajibu kushirikiana katika kuandaa mazingira mazuri ya kuelekea kwenye uchumi wa viwanda.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUTANO WA UWEKEZAJI WA AFRIKA WAFUNGULIWA NA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU
MKUTANO WA UWEKEZAJI WA AFRIKA WAFUNGULIWA NA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU
https://i.ytimg.com/vi/Oy_8Mxsu2TI/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/Oy_8Mxsu2TI/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/mkutano-wa-uwekezaji-wa-afrika.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/mkutano-wa-uwekezaji-wa-afrika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy