Makamu wa Rais mstahafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi cheti Tariq Athuman kwenye mahafali ya kuhitimu kidato cha nne shule ya seko...
Makamu wa Rais mstahafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi cheti Tariq Athuman kwenye mahafali ya kuhitimu kidato cha nne shule ya sekondari Feza yaliyo fanyika katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Wanafunzi bora katika masomo kidato cha nne shule ya sekondari ya wasichana na wavulana Feza wakiweka majina yao kuweka moja ya alama kweny ngao za shule wakiwa kwenye mahafali ya kuhitimu kidato cha nne yaliyo fanyika kituo cha mikutanmo cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Wahitimu wa kidato cha nne Feza boys wakitoa burudani wakati wa mahafali hayo
COMMENTS