UONGOZI WA SHULE ZA FEZA WAKABIDHI VYETI KWA WASHINDI WA GENIUS CUP FINAL 2017
HomeJamii

UONGOZI WA SHULE ZA FEZA WAKABIDHI VYETI KWA WASHINDI WA GENIUS CUP FINAL 2017

Mkurugenzi wa shule za Feza, Ibrahim Yunus, akikabidhi cheti kwa Baqirhasan Murtaza jana baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mashinda...

KATIBU MKUU TARISHI ATETA NA KIKOSI KAZI CHA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI CHA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
BALOZI WA TANZANIA NCHINI SRI LANKA, MHE.BARAKA LUVANDA AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO
SEKTA BINAFSI YACHANGIA MAADALIZI YA WIKI YA TANZANIA NA NCHI YA KENYA
Mkurugenzi wa shule za Feza, Ibrahim Yunus, akikabidhi cheti kwa Baqirhasan Murtaza jana baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mashindano ya Genius Cup Final 2017, huku aliyeshika nafasi ya kwanza ni Yusuf Abdallah (Hayupo pichani) kutoka shule ya sekondari ya Shamsia, iliyoko Mbweni Dar es Salaam, Baqirhasan ni mwanafunzi kutoka shule ya sekondari ya Almuntazir ya jijini Dar es Salaam, mashindano hayo yaliyoandaliwa na shule Feza na kufanyika katika shule ya Feza International iliyoko Salasala, Kata ya Kunduchi, Kindondoni, mkoani Dar es salaam tarehe 16/09/2017

Katika picha ya pamoja ni washindi wa mashindano ya Genius Cup Final 2017 kwa shule za msingi (Junior) na shule za sekondari (Senior) wote kutoka mkoa wa Dar es Salam, kushoto mwisho ni Mkuu wa Shule ya Feza Boy's, Simon Albert na kulia mwisho ni Mkurugezi wa shule za Feza Ibrahim Yunus. Shindano hilo lilifikia hitimisho jumapili tarehe 17/9/2017, ambapo washindi walikabidhiwa vyeti pamoja na zawadi zikiwemo fedha taslimu. Shindano hilo lilihusisha mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Mtwara, Pwani, Arusha, na Zanzibar
Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali nchini wakishiriki mashindano ya Genius Cup Final 2017 yaliyoandaliwa na kufanyika katika shule ya Feza International, iliyoko Salasala, Kata ya Kunduchi, Kindondoni, mkoani Dar es salaam jumamosi tarehe 16/09/2017 ambapo washindi watatu wamepeta vyeti na zawadi ya shilingi laki tatu, laki mbili na laki moja na nusu kwa washindi wa kwanza mpaka wa tatu. Mashindano hayo yameandaliwa kwa lengo la kukuza vipaji katika masomo ya hisabati na sayansi nchini yenye lengo la kuondoa dhana ya kwamba masomo hayo hayawezekani. (Picha zote na Mpiga Picha Wetu)


IMEANDALIWA NA BLOG YA IMMAMATUKIO

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UONGOZI WA SHULE ZA FEZA WAKABIDHI VYETI KWA WASHINDI WA GENIUS CUP FINAL 2017
UONGOZI WA SHULE ZA FEZA WAKABIDHI VYETI KWA WASHINDI WA GENIUS CUP FINAL 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgrfxQyAVYjg9JJ6iPjyNn2bNZLAZPlLsHF6PJaODdbWgExnTh2UYfDvKsc-ouWeRy3fVcBNYq_H77eTRl1QN7GgIXyZH0oBdLnSDI6fdfBYIGogv9sOXNelQlsyHrahM9ryna3DGw7buc/s640/DSC_0474WEB.gif
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgrfxQyAVYjg9JJ6iPjyNn2bNZLAZPlLsHF6PJaODdbWgExnTh2UYfDvKsc-ouWeRy3fVcBNYq_H77eTRl1QN7GgIXyZH0oBdLnSDI6fdfBYIGogv9sOXNelQlsyHrahM9ryna3DGw7buc/s72-c/DSC_0474WEB.gif
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/uongozi-wa-shule-za-feza-wakabidhi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/uongozi-wa-shule-za-feza-wakabidhi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy