SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AMJULIA HALI MKURUGENZI WA TEHAMA
HomeJamii

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AMJULIA HALI MKURUGENZI WA TEHAMA

Daktari Bingwa Upasuaji wa Mgongo na Mishipa ya Fahamu MOI, Nicephorus Rutabasibwa (kulia) akifafanua jambo kwa Spika wa Bunge Job Ndu...

VIDEO: HARUSI YA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WA LAKE FM MWANZA
RC MAKONDA AELEZA UJIO WA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA KESHO MACHI 31, 2017
WAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA OFISINI KWAKE DODOMA



Daktari Bingwa Upasuaji wa Mgongo na Mishipa ya Fahamu MOI, Nicephorus Rutabasibwa (kulia) akifafanua jambo kwa Spika wa Bunge Job Ndugai  (wa tatu kulia) Dar es Salaam jana wakati alipofika kumjulia hali Mkurugenzi Msaidizi wa Tehama (ICT)  wa Bunge, Lily Mraba aliyelazwa katika Taasisi hiyo. 
Pamoja naye ni mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju. 
 
 Muuguzi Mwandamizi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), Zaituni Bembe akiagana na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai  Dar es Salaam jana mara baada ya kutoka katika Taasisi hiyo, wakati alipokwenda kumjulia hali Mkurugenzi Msaidizi wa Tehama (ICT) wa Bunge, Lily Mraba.
Daktari wa Mishipa ya Fahamu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI)  Hamisi Kinyerero akiagana na maofisa wa Bunge walioongozana na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai wakati alipofika kumjulia hali Mkurugenzi Msaidizi wa Tehama (ICT) wa Bunge, Lily Mraba. aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa MOI. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA )
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AMJULIA HALI MKURUGENZI WA TEHAMA
SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AMJULIA HALI MKURUGENZI WA TEHAMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_Tr-lYfJ1P73oKq-TgnUQAkW3-bJv8k__-kk14lxd2pJOEBAvUzoi8W-Ybw-VHCRQu8rBrJAVqukZ3S5cFqHNwvM3qZPSmhDFPJTHx2GbxdU1XqXxPnBNBqx88MpVPnOuT52jOHuClR8/s640/_DSC2060.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_Tr-lYfJ1P73oKq-TgnUQAkW3-bJv8k__-kk14lxd2pJOEBAvUzoi8W-Ybw-VHCRQu8rBrJAVqukZ3S5cFqHNwvM3qZPSmhDFPJTHx2GbxdU1XqXxPnBNBqx88MpVPnOuT52jOHuClR8/s72-c/_DSC2060.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/spika-wa-bunge-job-ndugai-amjulia-hali.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/spika-wa-bunge-job-ndugai-amjulia-hali.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy