Mkurugezi Msaidizi Lugha Bibi Hajjat Shani Kitogo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo akionesha cheti ...
Mkurugezi Msaidizi Lugha Bibi Hajjat Shani Kitogo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo akionesha cheti cha usajili wa Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira Tanzania (UWARIDI) mara baada ya kuuzindua umoja huo huo katika ukumbi wa Nafasi Arts Space Jijini Dar es Salaam Agosti 25, 2016.
Mkurugezi Msaidizi Lugha Bibi Hajjat Shani Kitogo kutoka Wizara
ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Umoja wa
Waandishi wa Riwaya wenye Dira Tanzania (UWARIDI) katika ukumbi wa Nafasi Arts
Space Jijini Dar es Salaam Agosti 25,2016.
Rais wa Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira Tanzania
(UWARIDI) Bw. Hussein Tuwa akitoa neno wakati wa uzinduzi wa Umoja huo katika
ukumbi wa Nafasi Arts Space Jijini Dar es Salaam Agosti 25, 2016.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira
Tanzania (UWARIDI) Ibrahim Gama akitoa maelezo kwa mgeni rasmi kuhusu Umoja wao
wakati wa uzinduzi wa Umoja wa huo katika ukumbi wa Nafasi Arts Space Jijini
Dar es Salaam Agosti 25,2016.
Mkurugezi Msaidizi Lugha Bibi Hajjat Shani Kitogo kutoka Wizara
ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo(wa tatu kulia) akiwa katika picha ya
pamojja na viongozi na wajumbe wa kamati kuu ya Umoja wa Waandishi wa Riwaya
wenye Dira Tanzania (UWARIDI) mara baada ya uzinduzi wa umoja huo katika ukumbi
wa Nafasi Arts Space Jijini Dar es Salaam Agosti 25,2016.
Baadhi ya vitabu vya Riwaya vilivyoandikwa na wanachama wa Umoja
wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira Tanzania (UWARIDI).
Baadhi ya watu waliohudhuria
COMMENTS