WAZIRI wa Nishati,Dkt Medard Kalemani akizungumza na uongozi wa Shirika la Umeme nchini Tanesco na wadau wa mbalimbali wa umeme i...
WAZIRI wa Nishati,Dkt Medard
Kalemani akizungumza na uongozi wa Shirika la Umeme nchini Tanesco na
wadau wa mbalimbali wa umeme ili kuweza kuweka mikakati madhubuti
kuhakikisha nishati hiyo inapatikana kwa uhakika ikiwemo kuwahudumia
wateja kwa wakati na kuwepo kwa uhakika wa vifaa vyenye ubora ili
kuwezesha

Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu akizungumza katika kikao hicho |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati,Dkt Mhandisi Juliana Pallangyo akiongea katika kikao hicho kushoto ni WAZIRI wa Nishati,Dkt Medard Kalemani |
Wajumbe na wadau mbalimbali wa nishati wakifuatilia kikao hicho leo
Baadhi ya wajumbe wa uongozi wa
shirika kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Uzalishaji Umeme Mhandisi
Abdallah Ikwasa na kushoto ni Meneja wa Mwandamizi wa Tehama Dudu

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa
Tanesco nchini Dkt Tito Mwinuka kushoto na Mkurugenzi wa REA Mhandisi
Gisima Nyamuhanga wakifuatilia kikao hicho

Baadhi ya wajumbe wa bodi ya
wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wakimsikiliza kwa
umakini Waziri Nishati,Dkt Medard Kalemani katika kikao hicho

Waziri wa Nishati Dkt Medard
Kaleman akiambatana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Subira Mgalu
wamefanya kikao na uongozi wa shirika la Umeme nchini (Tanesco) na wadau
mbalimbali wa umeme ili kuweza kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha
nishati ya umeme wa uhakika unapatikana.

Aliyasema hayo leo katika kikao
cha pamoja baina yake na uongozi wa shirika hilo wakiwemo wadau ambapo
alisema watahakikisha wanawahudumia wateja kwa wakati ikiwemo uhakika
wa vifaa vyenye bora ili kuwawezesha wananchi kupatiwa umeme kwa haraka
zaidi .

Licha ya hivyo lakini pia Waziri
huyo alitilia mkazo suala la madeni yote ya bili za umeme kulipwa kwa
wakati kwenye shirika hilo ili kuweza kuwezesha ufanisi mkubwa katika
utendaji wa kazi .

Akizungumza na wazabuni mbalimbali
wa miundombinu ya umeme ikiwemo nguzo,nyaya na mita,Waziri Kaleman
alisema kuanzia sasa vifaa vya umeme vitanunuliwa ndani ya nchi kwani
kufanya hivyo itapunguza gharama kubwa na kasi ya kuwahudumia wateja.

"Kwani kufanya hivyo vifaa hivyo
vitakuwa karibu kupatikana ndani ya nchi na kutaongeza mapato ndani ya
nchi na uzalendo "Alisema.

Hata hivyo alilipongeza shirika la
Umeme nchini Tanesco kwa kufanya kazi kwa bidii na kutoa taarifa kwa
wateja juu ya huduma mbalimbali ikiwemo kuwataka kuwajibika kwa kufanya
kazi kwa waledi mkubwa
Aidha alisema kuwa mkakati wa
shirika hilo ni kuhakikisha mpaka ifikapo 2020 madeni yote shirika hilo
wanayoyadaiwa kwa wateja mbalimbali nchini yatakuwa yamekwisha kulipwa.
Sambamba na hayo alikema vitendo
vya wizi wa umeme na kuwataka wenye tabia za namna hiyo kuacha mara moja
na ambao watabainika watachukua hatua.

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
COMMENTS