MNAJIMU HASSAN YAHYA HUSSEIN ATABIRI VIFO KWA VIONGOZI WA DINI, SIASA, WASANII, WANAHABARI MWAKA HUU,
HomeJamii

MNAJIMU HASSAN YAHYA HUSSEIN ATABIRI VIFO KWA VIONGOZI WA DINI, SIASA, WASANII, WANAHABARI MWAKA HUU,

Maalim Hassan Yahya Hussein akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu utabiri wake wa mambo mba...








Maalim Hassan Yahya Hussein akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu utabiri wake wa mambo mbalimbali yatakayotokea mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)


Baadhi ya mambo aliyotabiri ni; Kutatokea kashfa kubwa sana ya ngono au fumanizi itakayowahusu viongozi wa dini, siasa na wasanii maarufu itakayosababisha viongozi hao kufedheheshwa na kuanguka kabisa katika tasnia zao.


Mwaka huu pia kutakuwa na vifo vya viongozi wakubwa maarufu wa kisiasa na kidini, kufa ghafla vifo hivyo vitatokana na msongo wa moyo na shinikizo la damu.


Mioto mingi mikubwa itatokea nchini na duniani.


Viongozi wakubwa wa upinzani duniani na Tanzania kurejea kwenye vyama walivyovihama.


Vifo vya vya ghafla vya wasanii maarufu duniani ikiwemo Tanzania vinaweza vikatokana na fumanizi kuuliwa au kuuana wenyewe.


Wimbi kubwa la vifo viliwakumba wanahabari duniani 2016 vitaendelea mwaka huu ajali nyingi kuwakuta wanasiasa, watawala na viongozi wa dini katika mwaka huu.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MNAJIMU HASSAN YAHYA HUSSEIN ATABIRI VIFO KWA VIONGOZI WA DINI, SIASA, WASANII, WANAHABARI MWAKA HUU,
MNAJIMU HASSAN YAHYA HUSSEIN ATABIRI VIFO KWA VIONGOZI WA DINI, SIASA, WASANII, WANAHABARI MWAKA HUU,
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmUN6jjIopUpTWltmGRLBK6yLlcna-3wLZvVxo2dg-DlZhbvbnFxvGxDD5rdSkHAS0JQ8OMWWq-fapC2WM7FECQI7JsI18OPSdNNzyvpT80Y0MocgZNzv3mgt2cZUJp7hMFW76IUQsoms/s640/IMG_4341.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmUN6jjIopUpTWltmGRLBK6yLlcna-3wLZvVxo2dg-DlZhbvbnFxvGxDD5rdSkHAS0JQ8OMWWq-fapC2WM7FECQI7JsI18OPSdNNzyvpT80Y0MocgZNzv3mgt2cZUJp7hMFW76IUQsoms/s72-c/IMG_4341.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/mnajimu-hassan-yahya-hussein-atabiri.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/mnajimu-hassan-yahya-hussein-atabiri.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy