Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzin...
Rais
a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Skuli mpya ya
Sekondari Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,iitwayo Mohamed Juma Pindua,
ikiwa ni shamara shamara za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Mhe. Riziki Pembe Juma. (Picha na Ikulu).
Rais
a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Skuli Sekondari
Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni shamara shamara za maadhimisho
ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma, (kulia) Mama Mwanamwema
Shein,
Rais
a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein (katikati) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki
Pembe Juma pamoja na Viongozi mbali mbali walipotembelea chumba cha
Kompyuta mara baada ya kuizindua Skuli Mpya ya Sekondari ya
Mkanyageni,iliyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,katika Kijiji cha
Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho
ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein (katikati) akiangalia Vitabu mbali mbali wakati
alipotembelea madarasa mbali mbali na maabara baada kuizindua Skuli Mpya
ya Sekondari ya Mkanyageni,iliyopewa jina la Mohamed Juma Pindua, katika
Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma.
Rais
a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein na Mkwe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi
mbali mbali wakati walipowasili katika Ufunguzi wa Skuli Mpya ya
sekondari ya Mohamed Juma Pindua huko Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa
wa Kusini Pemba leo ikiwa ni shamara shamara za maadhimisho ya miaka 53
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein (katikati) akitoa maelekezo kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma wakati alipotembelea madarasa mbali
mbali na maabara baada kuizindua rasmi leo Skuli mpya ya Sekondari
Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,iliyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,
ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar (kushoto).
Wananchi
na Wanafunzi wa Mkanyageni na Vijiji jirani Wilaya ya Mkoani Kusini
Pemba waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli Mpya ya
Sekondari ya Mkanyageni, iliyopewa jina la Mohamed Juma
Pindua, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo katika shamra
shamra za maadhimisho ya miaka 35 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Baadhi
ya Wananchi na Wanafunzi wa Mkanyageni na Vijiji jirani Wilaya ya
Mkoani Kusini Pemba wakimsikiliza Rais a Zanzibar na Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipozungumza nao
leo katika uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni,ilyopewa jina
la Mohamed Juma Pindua, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 35
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Januari 07 2017.
COMMENTS