SHULE YA SEKONDARY MUGABE YAPOKEA MSAADA WA VITABU KUTOKA KWA MKURUGENZI UBUNGO
HomeJamii

SHULE YA SEKONDARY MUGABE YAPOKEA MSAADA WA VITABU KUTOKA KWA MKURUGENZI UBUNGO

 Mkuu wa shule ya Sekondary Mugabe Madam Kayumbu  akikabidhiwa vitabu hivyo na afisa elimu Neema Maghembe mara baada ya kukabidh...

TACAIDS: UKIMWI BADO NI CHANGAMOTO
KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA WA KIFO CHA CASSIUS O. MDAMI
WAFANYAKAZI WA KUJITOLEA WA PEACE CORPS WAPATAO 57 WAAPISHWA KUHUDUMU NCHINI KWA MIAKA MIWILI


 Mkuu wa shule ya Sekondary Mugabe Madam Kayumbu  akikabidhiwa vitabu hivyo na afisa elimu Neema Maghembe mara baada ya kukabidhiwa na mkurugenzi wa manispaa ya ubungo ndugu  John Lipesi Kayombo 

Msaada huo wa vitabu umetolewa Taasisi ambayo ni asasi ya Wazalendo na maendeleo na watoto ni Amana
iliyowakilishwa na Mohamed Shaban aliyeambatana na  Ally Six NurdinKatika makabidhiano hayo mbali na mkurugenzi wa Ubungo kukabidhi vitabu hivyo pia aliahidi kutoa matofali 1000 Pamoja na mifuko 50 ya cement kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule jambo lililoungwa mkono na Taasisi kwa kutoa matofali 200.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo John Kayombo akiwa katika Picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondary  Mugabe,walimu na wageni waliohuduria katika hafla hiyo ya kukabidhi vitabu hivyo
Aidha Mkurugenzi kayombo ametoa agizo shule ya Sekondari Mugabe itumike kama Library ya wilaya ili kila shule walimu na wanafunzi waweze kwenda pale kujisomea 
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHULE YA SEKONDARY MUGABE YAPOKEA MSAADA WA VITABU KUTOKA KWA MKURUGENZI UBUNGO
SHULE YA SEKONDARY MUGABE YAPOKEA MSAADA WA VITABU KUTOKA KWA MKURUGENZI UBUNGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiUHwPFsfKWCsfpAT7dOTfBBjIzb2grIQzGcAsHxP9OfRTE7YfKBT_gw8Bob3pCanc3hR17yY5BHLgHPZehkJVjnIgZMs0StYAs8SFFpemzONkbZtOCWqcaLsLRlSMQAypD9mjOJxZNuY/s640/IMG-20170909-WA0032.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiUHwPFsfKWCsfpAT7dOTfBBjIzb2grIQzGcAsHxP9OfRTE7YfKBT_gw8Bob3pCanc3hR17yY5BHLgHPZehkJVjnIgZMs0StYAs8SFFpemzONkbZtOCWqcaLsLRlSMQAypD9mjOJxZNuY/s72-c/IMG-20170909-WA0032.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/shule-ya-sekondary-mugabe-yapokea.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/shule-ya-sekondary-mugabe-yapokea.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy