WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA TATU WAPATIKANA
Mtaalam wa Tehama wa Nordic Foundation Tanzania  Dickson Leonard (katikati) akibadilishana mawazo na Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Emmanuel Ndaki (kushoto) na Mkurugenzi mwendeshaji wa Kampuni ya Bima ya Zurich Group/ Jubilee wakati wa zoezi la kuendesha kampeni ya Afyabando ya tatu kuwapata washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam Oktoba 22. 2017. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)

HomeJamii

WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA TATU WAPATIKANA

Mtaalam wa Tehama wa Nordic Foundation Tanzania  Dickson Leonard (katikati) akibadilishana mawazo na Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ...

GGM NA TACAIDS KUZINDUA KILIMANJARO CHALLENGE 2018
RAIS DKT.MAGUFULI ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI TUZO ZA CTI MEI 4
APPLICATION FOR ADMISSION INTO DIPLOMA AND CERTIFICATE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2018/2019

Mtaalam wa Tehama wa Nordic Foundation Tanzania  Dickson Leonard (kulia) akiwasiliana na mmoja wa washindi wa kampeni ya Afyabando ambapo washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam Oktoba 22. 2017.  Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Emmanuel Ndaki.

Mtaalam wa Tehama wa Nordic Foundation Tanzania  Dickson Leonard (kulia) akibonyeza kitufe kuwapata washindi wa kampeni ya Afyabando ambapo washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya kwa ajili ya matibabu pamoja na familia.  Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Emmanuel Ndaki.

Mkurugenzi mwendeshaji wa Kampuni ya Bima ya Zurich Group/ Jubilee akiongea wakati wa zoezi la kuendesha kampeni ya Afyabando ya tatu ambapo washindi 10 wamepatikana na watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya kwa ajili ya matibabu pamoja na familia.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA TATU WAPATIKANA
WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA TATU WAPATIKANA
https://i.ytimg.com/vi/WGrcP3lliYQ/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/WGrcP3lliYQ/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/washindi-wa-afyabando-kwenye-droo-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/washindi-wa-afyabando-kwenye-droo-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy