TAASISI YA APHTA YATEKELEZA VYEMA MPANGO WA KUZUIA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA MASHULENI
HomeJamii

TAASISI YA APHTA YATEKELEZA VYEMA MPANGO WA KUZUIA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA MASHULENI

BMG Habari Shirika la Global Affairs Canada la nchini Canada limezindua miradi mitano ya afya nchini ikiwemo mradi wa Uzazi Uzima unao...

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATASHASTA NDITIYE ATEMBELEA TUME YA TAIIFA YA TEHAMA NA TCRA-CCC
VYAKULA VITANO MUHIMU KWA UKUAJI WA AKILI YA MTOTO
MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO CHA MANJANO BEAUTY ACADEMY YAFANYIKA JIJINI DAR




BMG Habari

Shirika la Global Affairs Canada la nchini Canada limezindua miradi mitano ya afya nchini ikiwemo mradi wa Uzazi Uzima unaosimamiwa na Shirika la Amref Health Africa, lengo ikiwa ni kupunguza vifo vya akina mama na watoto.

Akizungumza jana kwenye uzinduzi huo uliofanyika Jijini Dar es salaam, Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe.Ian Myles alisema miradi hiyo inagharimu zaidi ya Dolla Milioni 6O ambapo mashirika mengine yanayosimamia miradi hiyo ni pamoja na Aga Khan International, Care International na World Vision.

Waziri wa Afya, Mhe.Ummy Mwalimu alieleza kufurahishwa na ushirikiano uliopo baina ya serikali na wadau wa maendeleo katika kutatua changamoto za afya ikiwemo vifo vya akina mama na watoto na kwamba analipa kipaumbele eneo la Mama na Mtoto kwani ni muhimu katika sekta hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa shirika la Amref nchini Tanzania, Dkt. Florence Temu aliwashukuru wafadhili wa wa miradi hiyo kutoka nchini Canada na kubainisha kwamba ufadhili wao utasaidia kupunguza vifo vya akina mama na watoto hapa nchini.

Shirika la Amref linatekeleza mradi wake katika wilaya tano za mkoa wa Simiyu ambazo ni Meatu, Itilima, Bariadi, Maswa na Busega ambapo mradi huo umeanza mwaka huu na utafikia tamati mwaka 2020 huku mashirika mengine yakitekeleza miradi yake katika mikoa ya Mwanza, Tabora pamoja na Rukwa.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAASISI YA APHTA YATEKELEZA VYEMA MPANGO WA KUZUIA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA MASHULENI
TAASISI YA APHTA YATEKELEZA VYEMA MPANGO WA KUZUIA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA MASHULENI
https://i.ytimg.com/vi/3VXQd_vNIl0/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/3VXQd_vNIl0/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/taasisi-ya-aphta-yatekeleza-vyema.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/taasisi-ya-aphta-yatekeleza-vyema.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy