WAREMBO WAJIPANGA NA SHINDANO LA MREMBO ASILIA KUNDUCHI
HomeJamii

WAREMBO WAJIPANGA NA SHINDANO LA MREMBO ASILIA KUNDUCHI

Moja kati ya vitu muhimu kwenye Maisha ya Mwanamke ni pamoja na Urembo. Kumbuka kila kilicho na faida hakikosi hasara zake hasa unapo ...

NAIBU WAZIRI WA NISHATI, SUBIRA MGALU ATEMBELEA MIRADI YA UJENZI WA VITUO VYA UMEME KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KIONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA URUSI NA KIONGOZI WA BUNGE LA NCHI HIYO.
NAIBU WAZIRI SHONZA AFANYA ZIARA BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA)




Moja kati ya vitu muhimu kwenye Maisha ya Mwanamke ni pamoja na Urembo. Kumbuka kila kilicho na faida hakikosi hasara zake hasa unapo kitumia ndivy sivyo.

Tukiangazia hapa Tanzania baadhi ya warembo wamekuwa na Tambia ya kujiharibu yaani kujichubua na kupoteza uhalisia wao. Sasa Shindano la Mrembo Asilia Kunduchi linaletwa kwenu Watanzania kwa lengo la kumpata mrembo aliyeweza kujitunza bila kujiharibu ngozi yake, Nywele zake, Kucha zake nk.



Dhumuni ni kutoa hamasa kwa Wanawake wasikubali kupoteza uhalisia wao.

Kama wewe ni mdau wa mitindo na Urembo endelea kusambaza habari hii kwa watu wote asante. Karibu kutazama Shindani 28/10/2017 ndani ya Green Palm Hotel Kunduchi mkabala na Jeshini.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAREMBO WAJIPANGA NA SHINDANO LA MREMBO ASILIA KUNDUCHI
WAREMBO WAJIPANGA NA SHINDANO LA MREMBO ASILIA KUNDUCHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhFG1J03i5cEEXJP6E0pUEGZjk88NJGwktqQXWeuDWeyx26OfUKFwdisIeTetxckoqixujCPCH4DAuYXurTacLCMW6hytUa0HauuDm_9vE_pYCcTgoIYLPmRU54CuAHM2z6TcFMPJlY6E/s640/as+.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhFG1J03i5cEEXJP6E0pUEGZjk88NJGwktqQXWeuDWeyx26OfUKFwdisIeTetxckoqixujCPCH4DAuYXurTacLCMW6hytUa0HauuDm_9vE_pYCcTgoIYLPmRU54CuAHM2z6TcFMPJlY6E/s72-c/as+.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/warembo-wajipanga-na-shindano-la-mrembo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/warembo-wajipanga-na-shindano-la-mrembo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy