NAIBU WAZIRI SHONZA AFANYA ZIARA BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA)
 Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza alipofanya ziara katika Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.

HomeJamii

NAIBU WAZIRI SHONZA AFANYA ZIARA BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA)

  Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamadu...

LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA MEI 25, 2018
AIRTEL NA VETA WASHIRIANA KUANDAA KONGAMANO LA ELIMU KUPITIA MTANDAO
TCRA WATOA LESENI KWA WATOA HUDUMA ZA HABARI MTANDAONI



Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akimsikiliza Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza (wapili kushoto) alipofanya ziara katika Taasisi hiyo na kukagua ukumbi wa maonyesho ya sanaa leo Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akizungumza na watendaji wa BASATA (hawapo pichani) alipofanya ziara katika Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa Bibi. Leah Kihimbi.


Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akiangalia moja ya batiki zinazotengenezwa na wajasiriamali wa fani za sanaa alipofanya ziara katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza.


Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na watendaji wa BASATA alipofanya ziara katika Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia waliokaa ni Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza. (Picha na Genofeva Matemu - WHUSM)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI SHONZA AFANYA ZIARA BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA)
NAIBU WAZIRI SHONZA AFANYA ZIARA BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0L1wWTXYDQ0rXBXtiNBk6sq9GJ4mmifMcODK5Iee3Yr-O401t20sQ2aB8wR3mMYjDkUjrLWOSqoUCFVVQqkSMek-vC5DtHZjTin2VMV_jN2Kmku1EJ-ox6lHMAAUmQlgNFoYMns5zuuU/s640/Pix+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0L1wWTXYDQ0rXBXtiNBk6sq9GJ4mmifMcODK5Iee3Yr-O401t20sQ2aB8wR3mMYjDkUjrLWOSqoUCFVVQqkSMek-vC5DtHZjTin2VMV_jN2Kmku1EJ-ox6lHMAAUmQlgNFoYMns5zuuU/s72-c/Pix+1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-shonza-afanya-ziara-baraza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-shonza-afanya-ziara-baraza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy