PBZ YAKABIDHI HUNDI YA MILIONI 50 KWA RC MAKONDA KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA WALIMU DAR ES SALAAM
HomeJamii

PBZ YAKABIDHI HUNDI YA MILIONI 50 KWA RC MAKONDA KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA WALIMU DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh kulia akimkabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini Mkuu wa Mkoa w...

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UPR AFRIKA
JK AWATUNUKU DIGRII WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE
WAZIRI MWIGULU ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NIDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO




Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh kulia akimkabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paulo Makonga kuchangia Ujenzi wa Vyumba vya Walimu kwa Shule za Jiji la Dar es Salaam hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika katika Makao Makuu ya PBZ Mpirani Zanzibar. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh kulia akimkabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paulo Makonga kuchangia Ujenzi wa Vyumba vya Walimu kwa Shule za Jiji la Dar es Salaam hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika katika Makao Makuu ya PBZ Mpirani Zanzibar. kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayuob Mohammed Mahmoud na Mkurugenzi Masoko wa PBZ Said Ali Mwinyigogo.  


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh kulia akimkabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paulo Makonga kuchangia Ujenzi wa Vyumba vya Walimu kwa Shule za Jiji la Dar es Salaam hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika katika Makao Makuu ya PBZ Mpirani Zanzibar. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini kwa ajili ya kuchangia Ujenzi wa Vyumba vya Walimu wa Mkoa wa Dar es Salaamkulia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paulo Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marine Thomas .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paulo Makonda akizungumza na kutowa shukrani kwa Uongozi wa PBZ kwa msaada wao huo kufanikisha ujenzi wa Ofisi za Walimu wea Shule za Dar es Salaam,kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Juma Ameir Hafidhi.









Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PBZ YAKABIDHI HUNDI YA MILIONI 50 KWA RC MAKONDA KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA WALIMU DAR ES SALAAM
PBZ YAKABIDHI HUNDI YA MILIONI 50 KWA RC MAKONDA KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA WALIMU DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUYX3fbK9vmiXyYfPs8Zgl_0rQP4XG76mbPtWW-e9Smj75pBMzyqUSjV0-U4xrvpxnNH-_fZjLZe1JmH32A2jhrb9HbmXQaQet2n10gMyYc2nDfCd2szbgFftKXqgCFbrGmmvAUJJulIFu/s640/DSC_0053.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUYX3fbK9vmiXyYfPs8Zgl_0rQP4XG76mbPtWW-e9Smj75pBMzyqUSjV0-U4xrvpxnNH-_fZjLZe1JmH32A2jhrb9HbmXQaQet2n10gMyYc2nDfCd2szbgFftKXqgCFbrGmmvAUJJulIFu/s72-c/DSC_0053.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/pbz-yakabidhi-hundi-ya-milioni-50-kwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/pbz-yakabidhi-hundi-ya-milioni-50-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy