MKURUGENZI WA MASHTAKA AFUNGUA MAFUNZO YA UELIMISHAJI KUHUSU MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI
HomeJamii

MKURUGENZI WA MASHTAKA AFUNGUA MAFUNZO YA UELIMISHAJI KUHUSU MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

NA SEBERA FUGENCE – AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI (WCF), MOROGORO IMEELEZWA kuwa waajiri ambao hawajisajii na Mfuko wa Fidia kwa...

DKT SHEIN AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA YA WATOTO
WAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABOLOZI WA CUBA, ZAMBIA NA BURUNDI
WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA MABALOZI, AWATAKA WAKATAFUTE WAWEKEZAJI









NA
SEBERA FUGENCE – AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI (WCF), MOROGORO
IMEELEZWA
kuwa waajiri ambao hawajisajii na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi hatua kali
zitachukuliwa dhidi yao.
Hayo
yamesemwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Mhe. Biswalo Mganga katika mafunzo ya
uelemishaji wa Mawakili wa Serikali wa Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro,
Lindi na Mtwara yaliyofanyika Mkoani Morogoro jana. (leo)
Mheshimiwa
Mganga alisema 
hatua za kisheria
zitachukuliwa kwa waajiri watakaobainika kutenda makosa mengine yakiwemo ya
kutowasilisha michango katika Mfuko kwa wakati.
Alisema
lengo la Serikali ni kuona kila mfanyakazi anayeumia, kuugua ama kufariki
kutokana na kazi anapata mafao yake kama ambavyo imeeekezwa katika Sheria ya
Fidia kwa Wafanyakazi
Sura 263 ikisomwa
pamoja na kanuni zake za mwaka 2016.
“Mafunzo
haya yatatoa fursa kwa Ofisi yangu na Maafisa wengine kueleza uzoefu wao
kuhusu  namna ya
kuendesha Mashauri ya
Jinai zikiwemo changamoto wanazokutana nazo na mapendekezo ya utatuzi wa
changamoto hizo hasa pale wanaposhughulikia kesi dhidi ya waajiri wanaokiuka
sheria.
Alisema
Ofisi yake ni mdau muhimu sana katika kuhakikisha kuwa matakwa ya Sheria ya
Fidia kwa Wafanyakazi yanatekelezwa kikamilifu na wale wanaoshindwa kutekeleza
wajibu wao wanachukuliwa hatua stahiki za kisheria.
Nae
Mkurugenzi  Mkuu wa Mfuko
wa Fidia kwa
Wafanyakazi (WCF) nchini  Bw. Masha
Mshomba alisema
Ofisi  ya
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali  ipo kwa mujibu wa Sheria ya Ibara ya 59B ya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na moja kati majukumu
yake ya msingi ni kufungua, kusimamia  na
kuendesha mashauri ya jinai katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Alisema
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali ni mdau muhimu sana katika
kuhakikisha malengo ya Mfuko huo yanafikiwa kwani ndio wasimamizi wakuu katika
uendeshaji mashauri ya jinai yakiwemo makosa ya jinai yaliyoainishwa kwenye
Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi.
Aliitaja
changomoto inayoikabii Mfuko huo kuwa ni
idadi kubwa ya waajiri ambao hawajajisajili na hawachangii kwenye Mfuko
na kuongeza kuwa changamoto hiyo isipopatiwa suluhisho la haraka itaathiri
uwezo wa  Mfuko kulipa fidia kwa
wafanyakazi.
Alisema
hadi kufikia juni 30, 2017 Mfuko umelipa fidia ya kiasi cha Shilingi
613,843,555.64 ikiwa ni gharama za matibabu fidia ya ulemavu wa muda mfupi na
ulemavu wa kudumu.
Kwa
upande wa usajili Bw. Mshomba amesema hadi kufikia juni 30, 2017 mfuko tayari
ulikuwa umesajii waajiri 7,857 ambapo hadi kufikia juni 31, 2017 inakadiriwa
kuwa  zaidi ya waajiri
13,918 waliopo
Tanzania Bara hawajasajiiwa kwenye Mfuko.
Mfuko
wa Fidia kwa Wafanyakazi ni Taasisi ya Hifadhi ya Jamii iiyoanzishwa chini ya
kifungu cha 5 cha Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Sura 263 marejeo ya
mwaka 2015 kwa lengo la kushughuikia masuala ya fidia kwa wafanyakazi wanaoumia
ama kuugua ama kufariki wakati wakitekeeza majukumu ya mwajiri kwa mujibu wa
mikataba ya ajira zao.






Mkurugenzi  Mkuu
wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)
Bw. Masha Mshomba akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa
Mashtaka (DPP),
Bw. Biswalo Mganga kwenye Mafunzo ya Uelimishaji kuhusu Mfuko wa Fidia kwa
Wafanyakazi (WCF)  kwa
Mawakii wa Serikali
wa Mikoa ya Dar es Saaam, Morogoro, Lindi na Mtwara yaliyofayika mkoani
Marogoro leo Oktoba 4, 2017.


Baadhi
ya Washiriki wa Mafunzo wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mashtaka katika Mafunzo ya
Uelimishaji kuhusu Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)  kwa Mawakii wa Serikali wa
Mikoa ya Dar es
Saaam, Morogoro, Lindi na Mtwara yaliyofayika mkoani Marogoro




Mkurugenzi
wa Bw. Mashtaka Biswalo Mganga
akifungua Mafunzo ya Uelimishaji kuhusu Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
(WCF)  kwa Mawakii wa
Serikali wa Mikoa
ya Dar es Saaam, Morogoro, Lindi na Mtwara yaliyofayika mkoani
Marogoro
Mkurugenzi
wa Mashtaka Biswalo Mganga (wa nne kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja
na washiriki wa Mafunzo ya Uelimishaji kuhusu Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
(WCF)  kwa Mawakii wa
Serikali wa Mikoa
ya Dar es Saaam, Morogoro, Lindi na Mtwara yaliyofayika mkoani
Marogoro
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKURUGENZI WA MASHTAKA AFUNGUA MAFUNZO YA UELIMISHAJI KUHUSU MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI
MKURUGENZI WA MASHTAKA AFUNGUA MAFUNZO YA UELIMISHAJI KUHUSU MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdVTEjPs64lW7_HTOfZSzEgycYQawqBvkENt3kGJrx0EqdwCSqKvt24pJwf4i0fFQ8rjRvpEstl8QfJ5Rgs1Pd458ooWj5mLxPCtQ4NKU_XgkGTH-ltGlt6OxFHzEouizlFHTk4_CzPwtN/s640/PICS+2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdVTEjPs64lW7_HTOfZSzEgycYQawqBvkENt3kGJrx0EqdwCSqKvt24pJwf4i0fFQ8rjRvpEstl8QfJ5Rgs1Pd458ooWj5mLxPCtQ4NKU_XgkGTH-ltGlt6OxFHzEouizlFHTk4_CzPwtN/s72-c/PICS+2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mkurugenzi-wa-mashtaka-afungua-mafunzo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mkurugenzi-wa-mashtaka-afungua-mafunzo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy