WAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABOLOZI WA CUBA, ZAMBIA NA BURUNDI
Waziri Mhe. Balozi Dkt. Mahiga akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Zambia nchini Tanzania Mhe. Chali 
 
HomeJamii

WAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABOLOZI WA CUBA, ZAMBIA NA BURUNDI

Waziri Mhe. Balozi Dkt. Mahiga akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Zambia nchini Tanzania Mhe. Chali  ...

TAASISI YA JKCI YAFANYA UPASUAJI WA KUZIBUA MISHIPA YA MOYO ILIYOZIBA KWA ASILIMIA 100 NA KUSHINDWA KUPITISHA DAMU
WITO KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA ULIOKUWA MGODI WA DHAHABU BULYANHULU UPIMAJI ULIOFANYIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA AWASILI KUSHIRIKI UZINDUZI WA MABASI YA MWENDO KASI-BRT


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi mteule wa Zambia nchini Tanzania Mhe.Benson Keith Chali alipowasili Wizarani Jijini Dar es Salaam kukabidhi nakala za hati za utambulisho
Waziri Mhe.Balozi Dkt. Mahiga na Balozi Mteule wa Zambia nchini Mhe. Chali wakiwa katika picha ya pamoja. Wa pili kulia ni Mkuu wa Itifaki Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Grace Martin, wa kwanza kulia ni Afisa kutoka Wizarani na kushoto ni Maafisa kutoka Ofisi za Ubalozi wa Zambia nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Mteule wa Cuba nchini Tanzania Mhe.Lucas Domingo Harnandez Pelledo mara baada ya kuwasili Wizarani kuwasilisha nakala za hati za utambulisho
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea nakala za hati za utambulisho kutoka Balozi Mteule wa Cuba nchini Tanzania Mhe.Lucas Domingo Harnandez Pelledo
Picha ya pamoja Aidha, Waziri Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga amekutana na kufanya mazungumzo na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Wizarani Jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam
Waziri Mhe. Balozi Dkt. Mahiga akizungumza
Waziri  Mhe. Mahiga akimsiliza Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe walipokuna kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABOLOZI WA CUBA, ZAMBIA NA BURUNDI
WAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABOLOZI WA CUBA, ZAMBIA NA BURUNDI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBwQPveJWUhJnpovr2CQpkGjkudKQVx9AirrAA_LlrfaTdgoPXtEh791Mc8jznjRH85keq81ep0HIL3Uk_QRrUpvrABrq3_UQq3dqtfdxNg5RWqEC6pIXxE13QWhQ9mKrg0Dd52T_rAf4/s640/719A0300.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBwQPveJWUhJnpovr2CQpkGjkudKQVx9AirrAA_LlrfaTdgoPXtEh791Mc8jznjRH85keq81ep0HIL3Uk_QRrUpvrABrq3_UQq3dqtfdxNg5RWqEC6pIXxE13QWhQ9mKrg0Dd52T_rAf4/s72-c/719A0300.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/waziri-mahiga-apokea-nakala-za-hati-za.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/waziri-mahiga-apokea-nakala-za-hati-za.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy