Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba akizungumza jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kaz...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba akizungumza jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
(Picha na Daudi Manongi,MAELEZO)
COMMENTS