MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO 8.9.2017
Mbunge wa Kuteuliwa (CCM) Mhe. Salma Kikwete akizungumza jambo na Mbunge wa Chalinze (CCM) Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. (Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO)
HomeJamii

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO 8.9.2017

Mbunge wa Kuteuliwa (CCM) Mhe. Salma Kikwete akizungumza jambo na Mbunge wa Chalinze (CCM) Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao cha...

RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MAREHEMU PERAS MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
ALIYEKUWA KIONGOZI KITENGO CHA MAGONJWA YA DHARULA CHUMBA CHA UPASUAJI MNH, AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI
WAZIRI MKUU AAGIZA VIONGOZI NCHINI WATOE TAARIFA




Mbunge wa Mtama (CCM) Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akizungumza jambo na Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe. Daniel Nsanzugwako katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.


Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dk Medard Kalemani akiteta jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dk Ashatu Kijaji katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Mbunge wa Mlalo (CCM) Mhe. Rashid Shangazi akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Mbunge wa Kuteuliwa (CCM) Mhe. Anne KIlango Malecela akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama (CCM) Mhe. Nape Nnauye katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Mbunge wa Nzega mjini Hussein bashe akichangia hoja Bungeni mjini Dodoma leo. 

Mbunge wa Newala Mjini Mhe. Capt (Mtstaafu) George Mkuchika akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO 8.9.2017
MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO 8.9.2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5dBL5KmYT-MEDeqF_Zx1jPJPE1hwbqJ09BafzaChji7Qh7QIJpAZkmJVbuIH712AgsDRF012z0-lo_9Os2h01W3i24URP3ZwbFzXtkCEGinGWMKhpt-M2H0PmzOaH0DgDuu6nRc3RUn0/s640/3614-Ridhiwani+na+Salma+KIkwete+%25281%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5dBL5KmYT-MEDeqF_Zx1jPJPE1hwbqJ09BafzaChji7Qh7QIJpAZkmJVbuIH712AgsDRF012z0-lo_9Os2h01W3i24URP3ZwbFzXtkCEGinGWMKhpt-M2H0PmzOaH0DgDuu6nRc3RUn0/s72-c/3614-Ridhiwani+na+Salma+KIkwete+%25281%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/matukio-mbalimbali-bungeni-leo-892017.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/matukio-mbalimbali-bungeni-leo-892017.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy