BODI YA WADHAMINI YA TANAPA IKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAKE JENERALI (MSTAAFU) WAITARA YATEMBELEA HIFADHI YA KATAVI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika
la Hifadhi za Taifa (TANAPA), na wajumbe wa bodi hiyo, wakikaribishwa
na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Katavi, Mhifadhi Izumbe Msindai,
walipowasili kwenye hifadhi hiyo leo Septemba 28,
2017.
HomeJamii

BODI YA WADHAMINI YA TANAPA IKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAKE JENERALI (MSTAAFU) WAITARA YATEMBELEA HIFADHI YA KATAVI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), na wajumbe wa bodi hiyo, wakikaribishwa na Mhifadhi Mkuu wa H...

RAIS MAGUFULI AIPANDISHA HADHI DODOMA KUWA JIJI KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MUUNGANO
OPERESHENI LIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KABLA YA TAREHE 30 APRILI KUEPUKA KUPELEKWA MAHAKAMANI YARINDIMA KANDA YA KASKAZINI
TANGA: INAVYOKUA KIVUTIO CHA UTALII NCHINI TANZANIA





NA MWANDISHI MAALUM, KATAVI
BODI ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ikiongozwa na Mwenyekiti wa bodi, Jenerali Mstaafu George Marwa Waitara, leo Septemba 28, 2017
imetembelea Hifadhi ya Taifa ya Katavi kwa ajili ya kukagua utendaji kazi ambapo ilipata
fursa ya kupokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa Hifadhi Izumbe Msindai.
Bodi
imepongeza utendaji kazi katika Hifadhi ya Katavi hususani suala zima la
kupambana na ujangili na juhudi zinazofanywa katika kuongeza idadi ya watalii
hifadhini.
                                                    
Aidha,
Jenerali Waitara aliutaka uongozi wa hifadhi kuongeza jitihada katika
kukabiliana na changamoto za mifugo ambayo ni kubwa kwa Katavi na pia
alipongeza uongozi wa mkoa chini ya Mkuu wa Mkoa Meja Jenerali mstaafu Raphael
Muhuga kwa ushirikiano mkubwa anaotoa kwa hifadhi katika kupambana na mifugo
hifadhini.
Mapema
kabla, bodi iliweza kutembelea kituo cha mafunzo cha Mlele na kupokea taarifa
kutoka kwa Mkuu wa Kituo Mhifadhi Genes Shayo na kupata nafasi ya kuongea na
askari wapya wanaoendelea na mafunzo katika kituo hicho.

Jenerali
Waitara aliwataka askari hao kuwa na nidhamu, uwajibikaji, bidii na uzalendo
katika mafunzo yao na kuwa ni lazima waonyeshe kuiva ili waweze kupambana
vilivyo na changamoto ya ujangili katika Hifadhi za Taifa nchini.


 Jenerali Waitara, akionyesha
kitu wakati yeye na wajumbe wa bodi walipotembelea enelo
wanakohifadhiwa Viboko


 Jenerali Waitara akizungumza na
askari wanaopatiwa mafunzo kwenye kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi




 Baadhi ya wajumbe wa bodi
waliofiatana na Jenerali Waitara


 Baadhi ya askari wanaopatiwa
mafunzo ya ulinzi wa wanayamapori kwenye kituo cha mafunzo cha Mlele
wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Hifadhi za Taifa, (TANAPA),
Jenerali mstaafu George Marwa Waitara (hayupo pichani),
alipowatembelea leo Septemba 28, 2017
  Baadhi ya askari wanaopatiwa
mafunzo ya ulinzi wa
wanayamapori kwenye kituo cha mafunzo cha Mlele wakimsikiliza Mwenyekiti
wa Bodi ya Hifadhi za Taifa, (TANAPA), Jenerali mstaafu George Marwa
Waitara (hayupo pichani), alipowatembelea leo Septemba 28, 2017
Jenerali Mstaafu George Waitara, (kushoto) akipkewa na viongozi wa Hifadhi ya Taifa Katavi, alipowasili.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BODI YA WADHAMINI YA TANAPA IKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAKE JENERALI (MSTAAFU) WAITARA YATEMBELEA HIFADHI YA KATAVI
BODI YA WADHAMINI YA TANAPA IKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAKE JENERALI (MSTAAFU) WAITARA YATEMBELEA HIFADHI YA KATAVI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQudJQf4PGMS2bePC27fxlRqLpAj1R0lpoMT7C6FrzFA20gTYdtx-Wwu5XR661H1I6w5MkpuEXq8axo4UdeNt8lxleml1dZ8F6JoPkJmn5NBEcFzHCnFlai6rDrln9c7YsKQiMYfMkfQN7/s640/wai1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQudJQf4PGMS2bePC27fxlRqLpAj1R0lpoMT7C6FrzFA20gTYdtx-Wwu5XR661H1I6w5MkpuEXq8axo4UdeNt8lxleml1dZ8F6JoPkJmn5NBEcFzHCnFlai6rDrln9c7YsKQiMYfMkfQN7/s72-c/wai1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/bodi-ya-wadhamini-ya-tanapa-ikiongozwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/bodi-ya-wadhamini-ya-tanapa-ikiongozwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy