Naibu katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi ndg; Rodrick mpogoro akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mik...
Mwenyekiti wa umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi Ndg: Sadifa Juma Khamisi akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es Salaam
Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba Dar es Salaam
Washiriki wa mafunzo elekezi wakifuatilia mafunzo.
Mshiriki Katibu wa umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro ndg; Abdulrahim Hamid akiuliza swali wakati wa Mafunzo
elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)
COMMENTS