RAIS AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI KWA NAIBU KAMISHNA WA UHAMIAJI
HomeJamii

RAIS AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI KWA NAIBU KAMISHNA WA UHAMIAJI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamishna Uhamiaji, mara baada ya kuwasili ...

WAZIRI NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA SHIRIKA LA WAKIMBIZI
TAARIFA YA SERIKALI TOKA BUNGENI LEO 06/02/2017
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI MJINI DUBAI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamishna Uhamiaji, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Temeke alipotembelea Idara hiyo Julai 28 2017 mchana.
PMO_6104
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiongea na Makamishna mbalimbali wa Uhamiaji ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa  Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Temeke alipotembelea Idara hiyo.
PMO_6113

PMO_6127
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akitoa maelekezo kwa  Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala wakati wa ziara yake alipotembelea Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Temeke mchana wanaosikiliza ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara yake, Meja Jenerali Projest Rwegasira;  Kamishna wa Pasipoti na Uraia, Gerald Kihinga na Mkurugenzi Mkuu Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke.
PMO_6138

PMO_6146
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi pamoja na Menejimenti ya Idara ya Uhamiaji alipotembelea  Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Temeke.
PMO_6148
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akimwelekeza jambo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala wakati wa ziara yake alipotembelea Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Temeke leo mchana. Nyuma kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara yake, Meja Jenerali Projest Rwegasira.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI KWA NAIBU KAMISHNA WA UHAMIAJI
RAIS AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI KWA NAIBU KAMISHNA WA UHAMIAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_kRBGAH5uplvCKBT4u1vesjMoesDNNfxUB9SBpWtPk8VjCrakUCMBHRZ0iZ09DsqmtWL-LG1CDZ7K-p7KTwkKbpHPiuaBIJM35wWGcZYR6-9UsumtGM4LcS7OrtCrtsycvi7kN1s_zCU/s640/PMO_6087.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_kRBGAH5uplvCKBT4u1vesjMoesDNNfxUB9SBpWtPk8VjCrakUCMBHRZ0iZ09DsqmtWL-LG1CDZ7K-p7KTwkKbpHPiuaBIJM35wWGcZYR6-9UsumtGM4LcS7OrtCrtsycvi7kN1s_zCU/s72-c/PMO_6087.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/rais-aagiza-kusimamishwa-kazi-kwa-naibu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/rais-aagiza-kusimamishwa-kazi-kwa-naibu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy