WIKI YA NENDA KWA USALAMA YAZINDULIWA DAR ES SALAAM/ARUSHA

 Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani jijini Dar es Salaam, akiongoza bajaj wakati wa maandaano ya uzinduzi wa wiki ya nend...










 Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani jijini Dar es Salaam, akiongoza bajaj wakati wa maandaano ya uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mwembe-Yanga Novemba 7, 2016. Katika uzinduzi huo ambao mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Bw. Felix Lyavivaakimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Kikosicha usalama barabarani kilitumia wasaa huo kuwaelimisha wananchi, sheria mbalimbali zinazosimamia usalama barabarani ikiwa ni pamoja na kuchukua tahadhari kwa madereva wa vyombo vya moto, na matumizi ya alama za kuongoza magari pamoja. Wilaya zote tatu na zile mpya ziliwakilishwa na makamanda wa vikosivya usalama barabarani, wakiongozwa na wajumbe wa baraza lausalama barabarani la mkoa. Sambamba na hayo, palikuwepona burudani mbalimbali, wakiwemo wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Tunda Man na Msaga Sumu ambaye wimbo wake unatumika kutangaza hatua za kuzngatia katika kuzingatia sheria za usalama barabarani, lakini pia walikuwepo wasanii wa jeshi la polisi na wale wanafunzi ktoka shule ya Jeshi la Wokovu. Uzinduzi huo ulitanguliwa na maanadamano ya waendesha bodaboda, bajaji, magari ya kawaida na yale ya mafunzo ya udereva.
  Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani jijini Dar es Salaam, akiongoza maandamano  ya magari wakati yakiwasili viwanja vya Mwembe-Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam.







 Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilayaya Temeke jijini Dar es Salaam, Bw. Felix Lyaviva akisalimiana na makamandawa polisi, Uhamiaji, Magereza, Zimamoto, viongozi wa dini na wajumbe wa baraza la usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam.
 Bw. Lyaviva akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, SACP, Gilles Mroto.
 Mkuu wa Wilaya akisalimiana na mjumbe wa baraza la usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Aziz Varda.

  Mkuu wa Wilaya akisalimiana na mjumbe wa baraza la usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Iddi Azan.
   Mkuu wa Wilaya akisalimiana na mjumbe wa baraza la usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum.

 Mkuu wa wilaya akisalimiana na Makuu wa Uhamiaji wilaya ya Temeke.

 Mkuu wa Wilaya akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, SACP, Salum Hamduni.

 Mkuu wa wilaya akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kionondoni, ACP Theopista Malya.

 Mkuu wa wilaya akisalimiana na Mkuu wa magereza.






 Mkuu wa wilaya akisalimiana na Kamanda wa polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Temeke, (RTO), ASP, Solomon Mwangamilo.
 Polisi wa Usalama barabarani wakiwasili kwa maandamano
 Brass Band ya polisi ikiongoza maandamano
 Wanafuzni wa sekondari
 Meza kuu
 Maafisa wa polisi na wajumbe wa baraza la usalama barabarani
 Kwaya ya shule ikiongozwa na afisa wa polisi, ikihamasisha umuhimu wa kuzingatia sheria zausalama barabarani
 Msanii wa jeshi la polisi.

 Kamanda wa polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Temeke, (RTO), ASP Solomon Mwangamilo.
 Mkuu wa kituo cha polisi (OCS), stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo Bus Terminal, ASP Sarah Bundala, akiwasikiliza vijanahawa ambao ni madereva wa bodaboda.
 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, MsagaSumu (kushoto) na Tunda Man, wakitumbuiza huku mlinzi wao (Bodyguard) akiwa nyuma.

 Afisa wa polisi wa kikosi cha usalama barabarani Sophia, akiwaongoza wanafunzi.













 Mjumbe wa baraza la usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam, Iddi Azan akiteta jambo na Kamanda Solomon Mwangamilo.





Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro(kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini, Henry Tzamburakis cheti cha kutambua mchango mkubwa wa udhamini unaotolewa na kampuni hiyo  katika kuadhimisha wiki ya  Usalama barabarani jijini Arusha.





Baadhi ya Askari wa Usalama Barabarani wakitazama bidhaa za Vodacom katika  banda la Vodacom Tanzania kwenye wiki ya Usalama barabarabani inayoadhimishwa jijini Arusha.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WIKI YA NENDA KWA USALAMA YAZINDULIWA DAR ES SALAAM/ARUSHA
WIKI YA NENDA KWA USALAMA YAZINDULIWA DAR ES SALAAM/ARUSHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcxiz4T2OUKzYoISQVcrfVQfjO2Na-5kwh1IlDLG4RxYwlbAbRwB8dPLvkOfPwIru0hJlnP6Cu3lH5H8kiEi_HXDKd2I-7l-IC5e80CUyifKNgzVIr7hmeUQt358JeVzUnRuMfI_qsBvQ/s640/5R5A0440.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcxiz4T2OUKzYoISQVcrfVQfjO2Na-5kwh1IlDLG4RxYwlbAbRwB8dPLvkOfPwIru0hJlnP6Cu3lH5H8kiEi_HXDKd2I-7l-IC5e80CUyifKNgzVIr7hmeUQt358JeVzUnRuMfI_qsBvQ/s72-c/5R5A0440.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wiki-ya-nenda-kwa-usalama-yazinduliwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wiki-ya-nenda-kwa-usalama-yazinduliwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy