NMB YATOA SHILINGI 25M/= KUSAIDIA DUKA LA DAWA KWA JAMII MSD
HomeJamii

NMB YATOA SHILINGI 25M/= KUSAIDIA DUKA LA DAWA KWA JAMII MSD

Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (wa kwanza kushoto) akimkabidhi mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 Mkuru...

PROFESA NGOWI ATOA USHAURI KUHUSU UJENZI WA VIWANDA NCHINI TANZANIA
MATUKIO MBALIMBALI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA KISUKARI DUNIANI - MNAZI MMOJA DSM
YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI





Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (wa kwanza kushoto) akimkabidhi mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Bw. Laurean Bwanakunu zilizotolewa na benki hiyo kusaidia uboreshaji na uendelezaji wa ujenzi wa maduka ya madawa kwa jamii ya MSD katika mikoa tofauti. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam.Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (wa kwanza kushoto) akizungumza kabla ya kukabidhi mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 zilizotolewa na benki hiyo kusaidia uboreshaji na uendelezaji wa ujenzi wa maduka ya madawa kwa jamii ya MSD katika mikoa tofauti. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Bw. Laurean Bwanakunu. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Bw. Laurean Bwanakunu akitoa shukrani kwa Benki ya NMB baada ya kupokea mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 zilizotolewa na Benki ya NMB kusaidia uboreshaji na uendelezaji wa ujenzi wa maduka ya madawa kwa jamii ya MSD katika mikoa tofauti. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa.

BENKI ya NMB imekabidhi kiasi cha sh. Milioni 25 kusaidia Bohari Kuu ya Dawa (Medical Stores Department) katika kuboresha uendeshaji wa maduka na uendelezaji wa ujenzi wa maduka katika mikoa tofauti. Hundi hiyo ilikabidhiwa katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam, Afisa Mkuu wa wateja wakubwa wa NMB Richard Makungwa, alisema msaasa huo ni muendelezo wa mahusiano yao na Bohari ya Dawa (MSD).

Ujenzi wa bohari hiyo ya dawa itasaidia kupunguza adha ya upatikanaji wa dawa hasa kwa wananchi wa Rukwa kwani kulikuwa na umbali mkubwa kufikia huduma hiyo. Sekta ya afya ni moja kati ya kipaumbele kikubwa sana kwa benki ya NMB ikiwa ni njia ya mojawapo ya kujali jamii inayotuzunguka. Naye Mkurugenzi Mkuu wa (MSD) Laurean Bwanakunu ameishukuru benki ya NMB kwa kuwa karibu nao hasa katika suala zima la kusaidia maendeleo ya jamii.

Mpaka sasa kuna vituo saba ambavyo ni pamoja na kilichopo nje ya Hospitali ya Taifa (MNH), Sekoture Mwanza, Mount Meru Arusha, nje ya Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Katavi, Ruangwa iliyopo mkoa wa Lindi na Chato Geita.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NMB YATOA SHILINGI 25M/= KUSAIDIA DUKA LA DAWA KWA JAMII MSD
NMB YATOA SHILINGI 25M/= KUSAIDIA DUKA LA DAWA KWA JAMII MSD
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoNoaUw6TAo6AtDi-p-hJcOcWAoSx1Cp1thvQ71gyu3xQiXkdZUdZ8IxR9-Bh68O_3oqCoGkCKWodPwjKLMoOK-dCMPmaQL0FQYJzLPmIJArQ6gAUKlwwNGyjFDmuZQKTNd9WkLYmKmBo/s640/url.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoNoaUw6TAo6AtDi-p-hJcOcWAoSx1Cp1thvQ71gyu3xQiXkdZUdZ8IxR9-Bh68O_3oqCoGkCKWodPwjKLMoOK-dCMPmaQL0FQYJzLPmIJArQ6gAUKlwwNGyjFDmuZQKTNd9WkLYmKmBo/s72-c/url.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/nmb-yatoa-shilingi-25m-kusaidia-duka-la.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/nmb-yatoa-shilingi-25m-kusaidia-duka-la.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy