WADAU WAZIDI KUMUUNGA MKONO RC MAKONDA UJENZI OFISI ZA WALIMU
HomeJamii

WADAU WAZIDI KUMUUNGA MKONO RC MAKONDA UJENZI OFISI ZA WALIMU

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo amekutana na kufanya mazungumzo na chama cha Wamiliki wa Malori ya Usafirishaji wa Mc...

PAPA FRANCIS KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA LA KILUTHERI
TAHARIFA KUHUSU MWANDISHI WA HABARI KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA AGIZO LA DC KAHAMA
UONGOZI WA SERIKALI YA MTAA WA MARUZUKU BUGURUNI JIJINI DAR ES SALAAM WATOA SARE ZA SHULE KWA WATOTO 200


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo amekutana na kufanya mazungumzo na chama cha Wamiliki wa Malori ya Usafirishaji wa Mchanga ambao wamemuunga mkono kwenye kampeni ya ujenzi wa ofisi za walimu kwa kujitolea kusafirisha mchanga wote utakaohitajika. 

Wamiliki hao kwa kauli moja wamemwambia Makonda kuwa suala la kusafirisha mchanga wa kujenga ofisi zote 402 watalibeba hao hivyo yeye aendelee na majukumu mengine. 

Makonda ameshukuru chama hicho kwa kutambua thamani na mchango wa mwalimu. 

Amesema Walimu wakiboreshewa Mazingira ya kufanyia kazi itawawezesha kufanya kazi yao kwa ufanisi na kuwapatia Wanafunzi Elimu bora itakayosaidia Taifa kuwa na wataalamu wa kutosha na kupunguza utegemezi wa wataalamu kutoka nje ya nchi. 

Ametoa wito kwa Jamii kuendelea kuchangia Kampeni ya ujenzi wa Ofisi za Walimu ili Walimu wasifanyekazi kwenye mazingira Magumu. 

Kwa Upande wake Mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa Malori ya Kusafirisha Mchanga Bwana Emmanuel Moshi amesema kuwa wameamua kuunga mkono kutokana na juhudi za Makonda na kutambua thamani ya Mwalimu huku akieleza kuwa wataendelea kumuunga mkono.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WADAU WAZIDI KUMUUNGA MKONO RC MAKONDA UJENZI OFISI ZA WALIMU
WADAU WAZIDI KUMUUNGA MKONO RC MAKONDA UJENZI OFISI ZA WALIMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiOb_6CLpkqpTC5okVO5rX3mvJ12E4yhyphenhyphenLcVR0LDJtiCeYMHcZ2rJNS7UzHs7aV6pd1e-Sk8L1ZHdOOqiKgQBtAhT89oGO1Cjo6yE0-1_xWB_0JsrAVH3gs5cfrdCSUIEgEM7lAyK0xLNI/s640/a3409a8a-0700-41f8-8726-8e1c0d9317a7.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiOb_6CLpkqpTC5okVO5rX3mvJ12E4yhyphenhyphenLcVR0LDJtiCeYMHcZ2rJNS7UzHs7aV6pd1e-Sk8L1ZHdOOqiKgQBtAhT89oGO1Cjo6yE0-1_xWB_0JsrAVH3gs5cfrdCSUIEgEM7lAyK0xLNI/s72-c/a3409a8a-0700-41f8-8726-8e1c0d9317a7.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/wadau-wazidi-kumuunga-mkono-rc-makonda.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/wadau-wazidi-kumuunga-mkono-rc-makonda.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy